Mchanganyiko wa wafanyakazi walioacha familia Dar vs wanachuo waliokosa mkopo

trplmike

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
701
775
Nimekuwa nikifuatilia hili sakata la serikali kuchukua baadhi ya majengo ys UDOM na kuyafanya ofisi za serikali.

Hawa wafanyakazi wengi wanatoka DSM na wamehamishiwa Dodoma.

Kikawaida kabisa kama hata ofisi zao hazipo tayari hata nyumba za kulala na shule za watoto wao nao bado hazipo tayari. Wengi wa wafanyakazi watahama wenyewe kwenda Dom na kuacha familia zao DSM.

Vile vile ukumbuke mwaka jana wanachuo wengi walikosa mkopo. Leo unawachanga pamoja hawa watu.

Tutugemee mimba nyingi chuoni na ndoa nyingi kuvunjika pamoja na magonjwa ya zinaa kuongezeka hapo UDOM. Hutakiwi kuwa mtaabiri kuliona hili.
 
Tutarajie Mimba za hapa na pale huwezi kumuweka mbuzi kwenye kundi la chui.
 
Nasikia wanachukua mpaka mabweni ambayo hawakai wanafunzi.. hivi hii taarifa ni kweli?
 
Back
Top Bottom