serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,306
- 4,681
Tajeni bei zenu basi.. Nataka business plan ya small construction businessJamani wadau wa jf,habari za mizunguko ya hapa na pale......uandishi wa business plan bado unaendelea.....karibuni

Weka hapa basi, kuwanufaisha watu wengi.Nitafute inbox yang nitakudadavulia
Asent asee mkuu umenisaidia kwa kweli..Business plan common Ina vipengele muhimu Sita 6.
1.Business company description, kipengele hiki utaelezea taarifa fupi kuhusu kampuni, vision, mission objectives na core values
2.Product description, utaelezea bidhaa au huduma unazotoa specific, business position and price strategic
3.Production plan, hapa utaelezea mtitrirko mzima wa uzalishaji bidhaa au huduma
4.Market and competition. Hapa Utawaeleze wateja wako ni Akina Nani, ukubwa wa soko na mwelekeo, washindani wako ni Akina Nani
5.Marketing and sell strategy, hapa utafanya kitu kinaitwa SWOT analysis au kwa kiswahili ni Nguvu, Madhaifu, vikwazo na Nafasi, market strategy, method of sales na advertising and promotion
6.Management and organization, hapa utaonyesha structure nzima ya kampuni yako, na majukumu ya kila mfanyakazi.
Mwisho kabisa utadokoa kila kategory hapo juu kutengeneza one page ya EXCUTIVE SUMMARY ambayo huwa inakuwa first page
hapo juu nimedokoa vitu vichache vya muhimu, cha msingi uweze kutafuta Mtaalamu akupe support pale utakapohitaji au Google kupata more info kila category
Thanks aasee kwel Jf ni darasa huruChukua Samples hizo ukakomae mwenyewe.
Ukishindwa nitafute PM
Business plan common Ina vipengele muhimu kama saba(7).
1.Business company description, kipengele hiki utaelezea taarifa fupi kuhusu kampuni, vision, mission objectives na core values
2.Product description, utaelezea bidhaa au huduma unazotoa specific, business position and price strategic
3.Production plan, hapa utaelezea mtitrirko mzima wa uzalishaji bidhaa au huduma
4.Market and competition. Hapa Utawaeleze wateja wako ni Akina Nani, ukubwa wa soko na mwelekeo, washindani wako ni Akina Nani
5.Marketing and sell strategy, hapa utafanya kitu kinaitwa SWOT analysis au kwa kiswahili ni Nguvu, Madhaifu, vikwazo na Nafasi, market strategy, method of sales na advertising and promotion
6.Management and organization, hapa utaonyesha structure nzima ya kampuni yako, na majukumu ya kila mfanyakazi.
7.Financial plan, hapa utaelezea financial requirements ktk mradi wako, financial risk, assumptions cash flow, income statements na balance sheet
Mwisho kabisa utadokoa kila kategory hapo juu kutengeneza one page ya EXCUTIVE SUMMARY ambayo huwa inakuwa first page
hapo juu nimedokoa vitu vichache vya muhimu, cha msingi uweze kutafuta Mtaalamu akupe support pale utakapohitaji au Google kupata more info kila category
nitumie ndugu yangu kupitia kashashadm@gmail.comNina software flan (pirated) inaitwa PaloAlto Business Plan Pro, ni nzuri sana hasa kwa wasio na uzoefu, anaetaka aniPM nione namtumiaje
kwa sasa hapo imeondolewa inapatikana huku paloalto Business Plan Pro 15th Edition Setup Packagemm binafsi nnayo ya 2007na keygen zake,direct download hapa paloalto.business.plan.pro.2007.premier.edition.v9.06.0006.incl.keymaker-zwt.rar - 4shared.com - online file sharing and storage - download - Mohamed Radwan
dont thank me,thanks GOD
Mungu atatusaidia tukiweka bidii zetu, tukikata tamaa ndio kuangamia kwetuMi nafikiri ni kazi nzuri sana, ninao rafiki iliyowatoa na wengine wameanguka biashara hiyo hiyo
Cha msingi
1. Muwe wavumilivu, msiangalie walioko juu mkadhani nanyi mtafika Mara moja kwa wepesi
2. Mchape kazi sana
ahsantee mkuukwa sasa hapo imeondolewa inapatikana huku paloalto Business Plan Pro 15th Edition Setup Package