duh hyo kali huyo anaetengeneza hana kazi ya kufanya?
Hiyo ndio kazi yake bro! Inaitwa beach art na inalipa balaa! Wenzetu wanazijua fursa.duh hyo kali huyo anaetengeneza hana kazi ya kufanya?
Hiyo ndio kazi yake bro! Inaitwa beach art na inalipa balaa! Wenzetu wanazijua fursa.
Hiyo ndo kazi yake inayomwingizia hela.