uwiii mmhh jamani panya!!!
Wewe huwa unakaanga kwanza..???Mama weee...hilo lipanya umekula libichi hivo lilivo? Au una nyota ya nyau? Lol
Naskia sijui wanamuita samaki mchanga....sio panya...
Wewe huwa unakaanga kwanza..???
Nimekukumbuka sana kule Jukwaa la mapishi@farkhina
navyo wachukia hawa viumbe mmmh!!!
Nimekukumbuka sana kule Jukwaa la mapishi@farkhina