Mchambuzi: Jayrutty wameingia mkenge kudhamini simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
22,854
Reaction score
32,657
Ameandika Sama Ndambile

KUNA KILA DALILI WAWEKEZAJI WAMEINGIA KWENYE JAMBO WASILOLIFAHAMU

Bilioni 38 kwa Miaka mitano.

Bilioni 5.6 kila mwaka.

Ongezeko la 10% kwa kila mwaka.

FAIDA ZA KIMKATABA.
1. Ujenzi wa Uwanja wa Bunju (Watu Elf10 hadi 12).
2. Gari jipya la Irizar .
3. Studio ya kisiasa.
4. Ujenzi wa ofisi ya klabu.
5. Kukuza Vipaji ( pesa cash kutolewa)
6. Maadalizi ya timu mwanzo wa msimu - Milioni 100
7. Ujenzi wa kituo cha tiba.
8. Simba Day - Milioni 100 kila mwaka.
9. Shughuli za uendeshaji - Milioni 470 kwa mwaka.
10. Uingizaji jezi zenye chapa ya kidunia.

MASWALI
1. Nini masharti ya muwekezaji au yeye kazi yake ni kutoa tu? Hakuna mkataba wa kibiashara wa hivi.

2. Nini nafasi ya mdhamini huyu ndani ya klabu kwa sababu tayari MO yumo ndani? Nini mipaka yao kiutendaji na MO amelipokeaje hili?

3. Hawa Jayrutty Investment East Africa Limited wanauelewa kiasi gani wa mambo ya michezo? Wanazifahamu vizuri changamoto za biashara hii?

4. Mkataba unasemaje iwapo Jayrutty Investment East Africa Limited watashindwa kutekeleza ahadi zao?

5. Jayrutty wataingiza pesa kupitia jezi na bidhaa nyingine pekee kama kofia au kuna chanzo kingine mpaka waahidi yote haya?

6. Jayrutty wametumia kigezo gani kuamini wanakwenda kupata faida kubwa ya kuwawezesha kufanya yote haya kupitia jezi na menkandaizi nyingine pekee? Angeahidi Kassim Dewji, Vunjabei au Sandaland nisingekuwa na mashaka sababu wanaijua vizuri biashara hii.

Angalizo la Mwenyekiti Mangungu kwa Jayrutty na uwasilishaji wa kishabiki wa CEO wa Jayrutty Bw. Joseph Rwegasira vilitosha kunionesha giza lililopo hapo mbele labda kama Jayrutty Investment East Africa Limited tayari Bilioni 38 wanazomkoni + pesa ya uwanja+ hizo nyongeza na wamekuja Simba SC kutoa msaada kama ambavyo tumesikia wamekwisha tupia 30% ya Bilioni 5.6 ambayo hata sijui ni ya msimu upi.

Nimejiuliza maswali tu,nikilipata kabrasha zima la mkataba na kulisoma ndio nitachambua.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Anafanya kwa mapenzi yake kama baba anavyolea familia yake.Acha wivu
 
vilio kama hivi tulivitazamia sana, cry more utopolo
 
Hujajua bado creativity juu ya Jesi zao.
Unaeza Kuta wakadesign jezi .. Yan Uzi classic Hadi wananchi wa jangwani nao wakanunua. 😂🙏😂
 
Huko ni kumpangia mtu matumizi ya hela zake,kumbuka hatoi zote bilioni 38 kwa mwaka wa kwanza,anatoa Bilioni 5 tu.

Bila shaka kuna sehemu ameainisha Simba wanatakiwa kufanya nini na yeye atalindwa vipi kimkataba.
NB:Nyuma ya Jayrut kuna Kampuni
inaitwa Diadora

Well done Simba & Jayruty
 
Hivi unadhani kuna mtu anaingia mikataba ya Kudhamini mpira ili kupata hard cash directly ? Kwanza udhamini maana yake nini ?

Ukishamaliza hapo nikuulize hawa jamaa bila kudhamini Simba ungewajua ? Na kama umewajua sababu ya simba faida ya hio promotion kama wangetangaza kwenye TV, Redio na Magazeti mwaka mzima wangetoa kiasi gani ? Bila simba wewe ungewazungumza humu ndani ?
 
Ya wapi hiyo mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hivi unadhani kuna mtu anaingia mikataba ya Kudhamini mpira ili kupata hard cash directly ? Kwanza udhamini maana yake nini ?

Ukishamaliza hapo nikuulize hawa jamaa bila kudhamini Simba ungewajua ? Na kama umewajua sababu ya simba faida ya hio promotion kama wangetangaza kwenye TV, Redio na Magazeti mwaka mzima wangetoa kiasi gani ? Bila simba wewe ungewazungumza humu ndani ?
Kwan wanajihusisha na Nini

Bila shaka jezi ya Simba itakuwa batiki ( matangazo mengi

Back
Top Bottom