secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,554
- 49,967
Hupenda sana kuwatetea yanga bila sababu za msingi.
Abadilike bana.
Hupenda sana kuwatetea yanga bila sababu za msingi.
Aya mambo huwezi elewa yaani serikali imelipa madeni ya mabillioni kwa wadai wake huko nje, ghafla matimu yetu yanapokea ofa ya udhamini wa mabillioni tena kutoka kwenye vikampuni hata havieleweki na ofa ni kubwa kiasi kila mtu anajiuliza hawa vipi..Ameandika Sama Ndambile
KUNA KILA DALILI WAWEKEZAJI WAMEINGIA KWENYE JAMBO WASILOLIFAHAMU
Bilioni 38 kwa Miaka mitano.
Bilioni 5.6 kila mwaka.
Ongezeko la 10% kwa kila mwaka.
FAIDA ZA KIMKATABA.
1. Ujenzi wa Uwanja wa Bunju (Watu Elf10 hadi 12).
2. Gari jipya la Irizar .
3. Studio ya kisiasa.
4. Ujenzi wa ofisi ya klabu.
5. Kukuza Vipaji ( pesa cash kutolewa)
6. Maadalizi ya timu mwanzo wa msimu - Milioni 100
7. Ujenzi wa kituo cha tiba.
8. Simba Day - Milioni 100 kila mwaka.
9. Shughuli za uendeshaji - Milioni 470 kwa mwaka.
10. Uingizaji jezi zenye chapa ya kidunia.
MASWALI
1. Nini masharti ya muwekezaji au yeye kazi yake ni kutoa tu? Hakuna mkataba wa kibiashara wa hivi.
2. Nini nafasi ya mdhamini huyu ndani ya klabu kwa sababu tayari MO yumo ndani? Nini mipaka yao kiutendaji na MO amelipokeaje hili?
3. Hawa Jayrutty Investment East Africa Limited wanauelewa kiasi gani wa mambo ya michezo? Wanazifahamu vizuri changamoto za biashara hii?
4. Mkataba unasemaje iwapo Jayrutty Investment East Africa Limited watashindwa kutekeleza ahadi zao?
5. Jayrutty wataingiza pesa kupitia jezi na bidhaa nyingine pekee kama kofia au kuna chanzo kingine mpaka waahidi yote haya?
6. Jayrutty wametumia kigezo gani kuamini wanakwenda kupata faida kubwa ya kuwawezesha kufanya yote haya kupitia jezi na menkandaizi nyingine pekee? Angeahidi Kassim Dewji, Vunjabei au Sandaland nisingekuwa na mashaka sababu wanaijua vizuri biashara hii.
Angalizo la Mwenyekiti Mangungu kwa Jayrutty na uwasilishaji wa kishabiki wa CEO wa Jayrutty Bw. Joseph Rwegasira vilitosha kunionesha giza lililopo hapo mbele labda kama Jayrutty Investment East Africa Limited tayari Bilioni 38 wanazomkoni + pesa ya uwanja+ hizo nyongeza na wamekuja Simba SC kutoa msaada kama ambavyo tumesikia wamekwisha tupia 30% ya Bilioni 5.6 ambayo hata sijui ni ya msimu upi.
Nimejiuliza maswali tu,nikilipata kabrasha zima la mkataba na kulisoma ndio nitachambua.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwa bongo,yanga hawezi kuvaa jezi ya makolo hata iwe nzuri kiasi Gani pia watatafuta sababu ya kuibeza pia na makolo tafanya hivyo hivyo hatuna utamaduni wakumpongeza na kumsifia jilani,ila tambueni mabilioni mnayo yazungumzia siyo pesa ya mchezo fikilia bei za jezi za hapa bongo,vita ya jezi feki,utayari wa mashabiki kwenye ununuzi bibhaa original mwisho tafakari kutimia kwa malengo.isiwe watu wapo kwenye siasa zao ili warudi kiulani kuiomgoza Simba.Hujajua bado creativity juu ya Jesi zao.
Unaeza Kuta wakadesign jezi .. Yan Uzi classic Hadi wananchi wa jangwani nao wakanunua. 😂🙏😂
Mikataba ya nyumba za kupanga
Kwa bongo,yanga hawezi kuvaa jezi ya makolo hata iwe nzuri kiasi Gani pia watatafuta sababu ya kuibeza pia na makolo tafanya hivyo hivyo hatuna utamaduni wakumpongeza na kumsifia jilani,ila tambueni mabilioni mnayo yazungumzia siyo pesa ya mchezo fikilia bei za jezi za hapa bongo,vita ya jezi feki,utayari wa mashabiki kwenye ununuzi bibhaa original mwisho tafakari kutimia kwa malengo.isiwe watu wapo kwenye siasa zao ili warudi kiulani kuiomgoza Simba.
Mbezeni sasa ila muda utaongea.Mikataba ya nyumba za kupanga
Ndio ni mtu na mdogo wakeJayrutty na amber rutty ni kampuni moja?
By professional Mimi ni mwanasheria ....nimesoma LAW OF CONTRACTS Kwa miaka mitatu ....pale mzumbeMikataba ya nyumba za kupanga
[emoji23][emoji23]Yule CEO wa Amberrutty alikuwa anaropokwa tu ...hakuna mkataba wa aina ile.....yaani unatoa tu hela/misaada na unategemea kuuza jezi na kofia tu?
Ni hatariAya mambo huwezi elewa yaani serikali imelipa madeni ya mabillioni kwa wadai wake huko nje, ghafla matimu yetu yanapokea ofa ya udhamini wa mabillioni tena kutoka kwenye vikampuni hata havieleweki na ofa ni kubwa kiasi kila mtu anajiuliza hawa vipi..
Mimi nahisi hizi fedha ni hela hizohizo za serikali zilizokuwa zinalipa kampuni hewa za huko nje ambazo kuna tetesi wanufaika ni wanjanja wachache watanzania wenzetu..
Hata Mbet wakati wanaingia mkataba tulisikia wataweka mzigo wa kutosha. Kilichoendelea baada ya hapo kimebakia kuwa siri kati ya hao Mbet na klabu.Ameandika Sama Ndambile
KUNA KILA DALILI WAWEKEZAJI WAMEINGIA KWENYE JAMBO WASILOLIFAHAMU
Bilioni 38 kwa Miaka mitano.
Bilioni 5.6 kila mwaka.
Ongezeko la 10% kwa kila mwaka.
FAIDA ZA KIMKATABA.
1. Ujenzi wa Uwanja wa Bunju (Watu Elf10 hadi 12).
2. Gari jipya la Irizar .
3. Studio ya kisiasa.
4. Ujenzi wa ofisi ya klabu.
5. Kukuza Vipaji ( pesa cash kutolewa)
6. Maadalizi ya timu mwanzo wa msimu - Milioni 100
7. Ujenzi wa kituo cha tiba.
8. Simba Day - Milioni 100 kila mwaka.
9. Shughuli za uendeshaji - Milioni 470 kwa mwaka.
10. Uingizaji jezi zenye chapa ya kidunia.
MASWALI
1. Nini masharti ya muwekezaji au yeye kazi yake ni kutoa tu? Hakuna mkataba wa kibiashara wa hivi.
2. Nini nafasi ya mdhamini huyu ndani ya klabu kwa sababu tayari MO yumo ndani? Nini mipaka yao kiutendaji na MO amelipokeaje hili?
3. Hawa Jayrutty Investment East Africa Limited wanauelewa kiasi gani wa mambo ya michezo? Wanazifahamu vizuri changamoto za biashara hii?
4. Mkataba unasemaje iwapo Jayrutty Investment East Africa Limited watashindwa kutekeleza ahadi zao?
5. Jayrutty wataingiza pesa kupitia jezi na bidhaa nyingine pekee kama kofia au kuna chanzo kingine mpaka waahidi yote haya?
6. Jayrutty wametumia kigezo gani kuamini wanakwenda kupata faida kubwa ya kuwawezesha kufanya yote haya kupitia jezi na menkandaizi nyingine pekee? Angeahidi Kassim Dewji, Vunjabei au Sandaland nisingekuwa na mashaka sababu wanaijua vizuri biashara hii.
Angalizo la Mwenyekiti Mangungu kwa Jayrutty na uwasilishaji wa kishabiki wa CEO wa Jayrutty Bw. Joseph Rwegasira vilitosha kunionesha giza lililopo hapo mbele labda kama Jayrutty Investment East Africa Limited tayari Bilioni 38 wanazomkoni + pesa ya uwanja+ hizo nyongeza na wamekuja Simba SC kutoa msaada kama ambavyo tumesikia wamekwisha tupia 30% ya Bilioni 5.6 ambayo hata sijui ni ya msimu upi.
Nimejiuliza maswali tu,nikilipata kabrasha zima la mkataba na kulisoma ndio nitachambua.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kabla ya GSM kuja Yanga tulimjua?Ameandika Sama Ndambile

Hao jamaa wamulikwe, yawezekana wamepata pesa chafu wanataka kuzitakatisha kupitia mkataba huu na Simba.Ameandika Sama Ndambile

[emoji23][emoji23][emoji23] makolo ni watu wa editingHata Mbet wakati wanaingia mkataba tulisikia wataweka mzigo wa kutosha. Kilichoendelea baada ya hapo kimebakia kuwa siri kati ya hao Mbet na klabu.
Sio Kwamba tunawasaidia....kuwapa red alertKabla ya GSM kuja Yanga tulimjua?
GSM hakuna anajulikana kivile Ila Yanga ndio iliyobrandisha zaidi....
Acheni wivu wa kijinga, mshaanza kumchafua mdhamini wetu....
[emoji23][emoji23]Hao jamaa wamulikwe, yawezekana wamepata pesa chafu wanataka kuzitakatisha kupitia mkataba huu na Simba.
acha kujifariji kwa ufukara wako. Mo ana utajiri wa zaidi yaTrilioni 5, hiyo 20B ni kitu gani kwake?Moo mwenye kashindwa kuweka 20 bilioni,mnadhani pesa ni za kutupa TU