Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,027
- 33,003
- Thread starter
- #21
Huyo mchambuzi yupo neutralndio mfikishie huyo mtopolo kuwa aliee sana
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Huyo mchambuzi yupo neutralndio mfikishie huyo mtopolo kuwa aliee sana
Ni mtaalamu wa mikatabaWewe ndio unajua zaidi biashara? Una biashara gani kwanza
No matter unajihusisha na nini mtu huwezi kuingia kwenye soka kupata fedha directly hizo pesa zina masimango na mashabiki wanahesabu kila pesa inyoingia wewe unachoweza kufanya ni kunufaika kwa publicity au kama ukiwa jambazi kama kina Glaziers kutumia Timu / Brand kunufaika kwa upande mwingine for the detriment ya club (ingawa na hilo linaweza lika backfire mashabiki wakakushambulia).Kwan wanajihusisha na Nini
Bila shaka jezi ya Simba itakuwa batiki ( matangazo mengi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
😀😀😀Jayrutty na amber rutty ni kampuni moja?
Nikumbushe tu kuwa mbali na CPA ana Msc In Accounting and Finance kutoka chuo kikuu mzumbe Pia ana MBA....Uyo ndio msomi na mwandishi kutoka chuo Cha AMAZON CORAGE.
Nikukumbushe tu mmiliki wa iyo kampuni ni CPA.....
KAZI ni kipimo cha utu
Watu wa aina hii wanaamsha soka la bongo watu wanaweka pesa. Asipozinguliwa na wapigaji hizo ahadi zinatekelezeka. Akiwapata watanzania wanasimba 1M wa kununua jezi kwa Tshs 25k ni 25B. Ukitoa expenses hata 15B ndani ya hiyo 10B inayobaki anawapa Simba gawio lao anabaki na angalau 3B kila mwaka za kuendesha maisha yake.[emoji23][emoji23][emoji23] daaah yawezekana mkuu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
CPA sasa.Uyo ndio msomi na mwandishi kutoka chuo Cha AMAZON CORAGE.
Nikukumbushe tu mmiliki wa iyo kampuni ni CPA.....
KAZI ni kipimo cha utu
CPA za kibongo zimefanya nini kwenye mapinduzi ya kibiashara za wazawa?Uyo ndio msomi na mwandishi kutoka chuo Cha AMAZON CORAGE.
Nikukumbushe tu mmiliki wa iyo kampuni ni CPA.....
KAZI ni kipimo cha utu
kama kilio cha Yanga kwa gcm anayetoa kwa klabu shilingi 1,300/= tu kwa kila jezi. Tungejua hili tusingempa gcmBasi Simba wategemee kilio
Moo mwenye kashindwa kuweka 20 bilioni,mnadhani pesa ni za kutupa TUAnafanya kwa mapenzi yake kama baba anavyolea familia yake.Acha wivu
Ahaa kumbe .....ntawadhamini na mm Ili nipate pisiNo matter unajihusisha na nini mtu huwezi kuingia kwenye soka kupata fedha directly hizo pesa zina masimango na mashabiki wanahesabu kila pesa inyoingia wewe unachoweza kufanya ni kunufaika kwa publicity au kama ukiwa jambazi kama kina Glaziers kutumia Timu / Brand kunufaika kwa upande mwingine for the detriment ya club (ingawa na hilo linaweza lika backfire mashabiki wakakushambulia).
Kwahio advantage kubwa ni kukuza brand yako; hata mkataba ukiisha ukasema ulikuwa mfadhiri wa Simba utaonekana wewe ni wa kiwango
Hapana mkuu mbna yupo smart sanaSijasoma chochote. Yaani nilipoona Jina la Samandambile nilienda kutapika kwanza maana jamaa anazungumza kana kwamba hana ubongo.
Kipindi fulani tulimtimua pale East Africa Radio kwenye kipindi cha kipenga baada ya kugundua kuwa anapochambua anaegemea upande wa UTOPOLO.
Nyambafu sana!!
Duh kumbe Kuna long processHawa jayrutty ni brokers tu, wamechukua tenda simba na wao wameenda kufanya biashara na diadora
Nna mastersMwandishi kwanza tueleze kama umesomea maswala ya uchumi na uwekezaji.
[emoji23][emoji23]Ni kama mabasi ya jioni kule wilayani. Yanaita abiria mkishajaa mnafaulishwa kwenye basi jingine na wao wanapata ganji kidogo.