Kwani sasa.hivi si mmeshasahau mnajadili mimba za wanafunzi:!?imezimwa na escrow mpya then escrow Mpya itazimwa na nyingine mpya zaidi, life goes on
We kuniuliza mimi mwanaume unamaanisha niniUnamaanisha nini ?
Hii hatua ya kwanza.Nategemea kwamba hatua za awali za majadiliano na hawa acacia zimeisha anza hata kama zitakua kwenye hatua za mwanzo kabisa za maandalizi wananchi tunapaswa kujuzwa kinachoendelea.
.....
Hata kama serikali inafikiria kuachana na majadiliano itujurishe tu.
Hii hatua ya pili, maandamano ya kupongeza muibiwa kukutana na mwizi.ile ilikuwa kiki na bunge lilishatoa tamko la kumpongeza mtukufu.
Majadiliano yamefikia wapi ?tena mfunge mabakuli yenu nyie si mlisema raisi amekurupuka