Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Nategemea kwamba hatua za awali za majadiliano na hawa acacia zimeisha anza hata kama zitakua kwenye hatua za mwanzo kabisa za maandalizi wananchi tunapaswa kujuzwa kinachoendelea.
Mheshimiwa Rais ameishatoa maelekezo ya wananchi wote kuungana ktk jambo hili, hivyo tuna haki ya kujurishwa nini kinaendelea.
Hata hao watu wa nyamongo wakijua mchakato wa majadiliano unaendelea inaweza saidia kupunguza munkali kidogo.
Hata kama serikali inafikiria kuachana na majadiliano itujurishe tu.