Mchakato wa majadiliano na ACACIA umefikia wapi

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,109
2,000
Nategemea kwamba hatua za awali za majadiliano na hawa acacia zimeisha anza hata kama zitakua kwenye hatua za mwanzo kabisa za maandalizi wananchi tunapaswa kujuzwa kinachoendelea.

Mheshimiwa Rais ameishatoa maelekezo ya wananchi wote kuungana ktk jambo hili, hivyo tuna haki ya kujurishwa nini kinaendelea.

Hata hao watu wa nyamongo wakijua mchakato wa majadiliano unaendelea inaweza saidia kupunguza munkali kidogo.

Hata kama serikali inafikiria kuachana na majadiliano itujurishe tu.
 

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,374
2,000
Nategemea kwamba hatua za awali za majadiliano na hawa acacia zimeisha anza hata kama zitakua kwenye hatua za mwanzo kabisa za maandalizi wananchi tunapaswa kujuzwa kinachoendelea.
.....
Hata kama serikali inafikiria kuachana na majadiliano itujurishe tu.
Hii hatua ya kwanza.
ile ilikuwa kiki na bunge lilishatoa tamko la kumpongeza mtukufu.
Hii hatua ya pili, maandamano ya kupongeza muibiwa kukutana na mwizi.

Link. Mkuu wa Mkoa na Mkurugenzi Iringa watoa amri lazima kwa watumishi kujitokeza kumpongeza Magufuli

Link2. AIBU: CCM Iringa wasomba wanafunzi kumpongeza Rais

Hii hatua inaitwa "chezea akili za wadanganyika" kwa hisani ya fisiem.

Jikumbushe. Link Waliolani na kubeza maandamano ya UKUTA huwezi kuwasikia wakisema chochote kuhusu haya maandamano
 

cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,192
2,000
Endelea kuvuta subira, yote lazima yapo salama chini ya Mkulu wetu na timu yake.
 

Handsome man

JF-Expert Member
May 6, 2017
895
1,000
Nchi ya matukio sahv tuko episode ya wanafunzi na mimba na mwenye kutaka vyeo vyote kulishupalia ni mwendo wa povu tu mara kila mtu ana hamu na papuch
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom