Mchakato wa Madelu kuondolewa uPM umefikia wapi?.

The choosen one1

Senior Member
Joined
Dec 13, 2023
Posts
104
Reaction score
436
Mambo mengine yanaudhi sana.
Kiufupi tunachezewa akili na taarifa za uongo.

Na zile video za utupu zimeishaje, mara bashite ndie mrithi na ziara zake zimeenda wapi.

Ebu watanzania tuondoeni matumaini kwenye umbea na tetesi ,
kama tunataka regime change ukweli kwamba sisi ndio tutaibadili na sio ijibadili au itokee miujiza viongozi wote wafe.
 
Kwa mujibu wa maelezo yao wenyewe kutoanaa maini kumekoma waliotolewa bàati yao mɓya.Nauwa wao kwa saß ŵnatafuna nyama hadì mmifupa na hata viwalo!
 
Tatizo la watanzania ni Umasikini na Ujinga...hivyo vitu viwili vikiondoka hata nusu yake tu ,nchi itakomboka.
 
Back
Top Bottom