Mchakato wa Kupata Vazi la Kitaifa.

Mchakato wa Kupata Vazi la Kitaifa.

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
2,138
Reaction score
1,045
Waungwana Salam!
Naomba kujuwa kuhusu ule mchakato wa kusaka vazi la kitaifa ktk TZ yetu, umeishia wapi? Ni muda sasa tangu lizungumziwe japo ktk media zetu. Binafsi ningependa kuona tunafika mwisho wa hili suala ili nasi tujivunie na kutoka kivyetu. Kwa yeyote mwenye kujua kinacho anijuze na kwa faida ya wengine pia.
Nawasilisha.
 
Wamama tuvae matenge kama ya mamarichmoja ndiyo mapendekezo.
 
Kwa wanaume chadema wameshatupa vazi la taifa bado kina mama.
Hapa a,town watu tupo ki che guavara na ki castro zaidi.
Huko uliko vipi?
 
ujinga mtupu......
wazanzibari wana mavazi yao..
wamasai wana yao...
na kadhali na kadhalika

tusilazimishane...mavazi...kila mtu avae anachopenda...
 
Back
Top Bottom