ulimi waupanga
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 471
- 1,163
Mtungi maaana yake Tajiri ndo maana anapenda pesa na rushwa.Huyu mtungi anajulikana kwa ukosefu wa uadilifu tangu akiwa hakimu kisutu. Alikuwa mtu wa rushwa na kama system ningekuwa inafanya kazi vizuri asingepewa ujaji