Mchakato wa Katiba Mpya Chini Mutungi ni Upotevu wa Rasilimali

Naililia Tanzania yangu mimi! Sioni mwenye nia ya dhati ya kuipatia Tanzania katiba mpya, wote ni wasaka tonge tu! Ukisema uwatumie viongozi wa dini ndiyo hao akina Gwajima, Pengo na yule Shekh mstaafu wa Dar plus Mwamakula. Ukisema wasimamie majaji ndiyo hao akina Biswalo na wenzio waliopatikana kutoka kwenye mfumo, Ukisema litumike Bunge wote walipita kwa hisani ya mwendazake watahitaji kulinda nafasi zao.

Nawaza tu kijinga kwamba" Shetani akizeeka anakuwa Malaika" labda tuwatumie wasitaafu akina warioba na Butiku labda wao hofu ya Mungu imeanza kuwaangia, wanaweza kuwa na Utaifa zaidi kuliko Uchama.
 
Mbona tena hapo kwenye mapendekezo ya majina matatu yapelekwe kwa Rais, naona tena umerudisha mamlaka ya hii issue kwa Rais, tofauti na msimamo wako wa mwanzo uliposema Rais ni zao la Katiba hivyo mzaliwa hawezi kujizaa?

Hivi tunataka kukubaliana kwamba Rais akiwa kama mwenyekiti wa chama cha siasa, ambaye kimsingi anatakiwa awe na nguvu sawa na wenyeviti wa vyama vingine, hawezi kabisa kuachwa pembeni kwenye hili?

Basi kama ni hivyo, napendekeza Rais ashirikishwe kwenye huu mchakato kwa namna ambayo atakuwa na kofia ya uenyekiti wa chama chake, sawa na wenyeviti wengine kwa nafasi itakayowahitaji kutoa maoni yao, lakini asiwe kama Rais ambapo anaweza kuingilia utendaji aa tume kwa namna moja au nyingine.
Rais ni zao la katiba lakini pia Rais ni taasisi ambayo na yenyewe inatakiwa kuwa mshirika katika kuandaa katiba, lakini siyo kuwa mwamuzi pekee au mwenye mamlaka ya ku-dictate process.

Akipelekewa majina, na yeye kunyimwa uhuru wa kuteua jina nje ya majina aliyopewa maana yake ameshiriki lakini hajaamua pekee yake. Na kiuhalisia anakuwa amepewa nafasi ndogo ya kimaamuzi.
 
Kwanini hawa elites hawapo tayari kwenda front kudai haki zao kama nao wanapitia matatizo yale yale wanayopitia wale wengine?

Upandaji wa gharama za maisha ni mfano mzuri, hili linawagusa wote, elites na wasio elites, naona hapa tuambizane ukweli tu, hawa elites wetu ni wajinga tu. Tena ni wajinga na wabinafsi hasa bora hata wale wengine wasio na elimu yoyote, na hawa ndio kwa kiasi kikubwa wanarudisha nyuma harakati za kuikomboa hii nchi.

Hawa ukiwatazama kwa makini utaona nao wanasubiri tu wapate nafasi serikalini nao wageuke waitwe mafisadi, wengi wao hawana nia yoyote ya dhati kuunganisha nguvu zao ili kujikomboa.

Tazama tatizo la ukosefu wa ajira linavyowatafuna kwa mfano, lakini wapo kimya tu, kila mmoja wao anachungulia nafasi yake akapate pakujibanza awaache wenzie mtaani, matokeo yake wote wanaendelea kusota mitaani!.
Ndio hivyo Mkuu.

"Elites"- wengi wetu ni waoga na wapiga kelele nyuma ya keyboards tu. Wengi wetu tunahofia mibinyo ambayo ni kawaida kwa nchi zetu hizi maskini ambako demokrasia ni ya kutafutiliza tafutiliza.

Nadhani unakumbuka mibinyo ya awamu iliyopita mpaka ikapelekea wengi wetu hata kuandika tu hapa JF tulikuwa hatuthubutu. Kwahiyo ukiweka ubinafsi na hiyo mibinyo ya kupoteza mikate mezani (ubinafsi kama inavyotafsirika) basi ndio inafanya kundi la elites kushindwa kwenda front.

Wananchi wa kawaida wao wakielewa vizuri ndio huwa wakombozi maana wengi wao huwa hawazingatii sana "calculated risks" ambazo hufanywa na kundi la "elites".

Ndio maisha hayo Mkuu. Ila tuendelee kuelimishana hivihivi taratibu. Labda huko mbeleni na hili kundi litakuwa tayari kwenda front.

Sent from JamiiForums mobile app
 
Ndio maana Heart Wood amezungumzia pawepo na nia ya dhati kwa wahusika ili kufanikisha hili jambo.
Ndio. Nia ya dhati ikiwepo katiba bora inapatikana ndani ya mwaka tu.

Si unaona Mkuu wa sasa alivyoonesha nia japo kidogo ya kuwa fair na hata Polisi wamebadilika kabisa wanavyo wa-treat wanasiasa kwa sasa? Ukiwa mgeni wa nchi hii unaweza sema Polisi wa sasa wameletwa wapya kabisa. Kumbe ni walewale tu.

Sent from JamiiForums mobile app
 
Sio makusa, huo ni mpango mkakati wa kuchezeshwa shere na kupewa matumaini hewa.
Naona huu mchakato wa kuipata Katiba Mpya bado hatujawa serious nao, kinachofanyika mpaka sasa ni muendelezo wa makosa yale yale yaliyotukwamisha wakati ule wa JK.

Ukiutazama kwa makini, utaona kuna makosa mengi sana ambayo nashindwa kuelewa kwanini yanajirudia, kosa moja kubwa kuliko yote ni kumuacha Rais ambaye nae ni mwenyekiti wa chama cha siasa, awe ndie kiongozi. Hapa tayari tumeshaanza kwa kukosea.

Na kuonesha vile tunaendelea kukosea kwenye hili jambo, ni pale ambapo baadhi yetu tunarudi kumtaka Rais huyo huyo amuondoe Mutungi tusiyemtaka kwa sababu ya rekodi yake, amuweke mwingine tutakayeridhika naye.

Hata kama hilo likifanyika, bado tutaendelea kucheza humo humo ndani ya kisima cha makosa, ambapo huyo mpya atakayeteuliwa na Rais, bado kuna uwezekano mkubwa akaenda kufanya kazi ya kumfurahisha bosi wake, kwa maslahi ya chama chao, matokeo yake tutaanza tena kupiga kelele na kuendelea kujichelewesha wenyewe.

Kwa maoni yangu, hapa kinachotakiwa kufanyika ili tuipate Katiba Mpya bora, kwanza na muhimu kabisa, Rais anatakiwa kuwekwa pembeni kwenye huu mchakato, atafutwe kiongozi/ au iundwe taasisi nyingine huru isiyo na upande wowote, isimamie huu mchakato.

Taasisi husika iachwe huru kufanya kazi zake bila vitisho vyovyote [ bunge litunge sheria ya kuiunda, na kuwalinda watendaji wake mpaka mwisho wa majukumu yao], lakini kinyume na hapo, tutaendelea kudanganyana tu.
 
Ccm wanataka kutengeneza kitini (handout) ambacho watakibatiza jina la katiba mpya. Halafu mwisho wa siku ikifika kwenye utekelezaji kila kitu kikiukwe.

Na malalamiko yakipelekwa mahakamani ndipo mahakama watamke kuwa hiki siyo katiba maana misingi ya kisheria haikufuatwa wakati wa uundwaji wake.
 
Ndio. Nia ya dhati ikiwepo katiba bora inapatikana ndani ya mwaka tu.

Si unaona Mkuu wa sasa alivyoonesha nia japo kidogo ya kuwa fair na hata Polisi wamebadilika kabisa wanavyo wa-treat wanasiasa kwa sasa? Ukiwa mgeni wa nchi hii unaweza sema Polisi wa sasa wameletwa wapya kabisa. Kumbe ni walewale tu.

Sent from JamiiForums mobile app

Kwanza kazi kubwa ilikwishafanywa na ile kamati ya katiba ya Jaji Warioba. Ni kazi ndogo sana iliyokuwa imebakia ambayo ingewezekana kufanyika kwa muda mfupi sana.
 
Upatikanaji wa katiba mpya ni utaratibu wa kisheria, na mchakato mzima ni lazima uwe wa kisheria. Process nzima, kuanzia vikao mpaka ushirikishwaji ni lazima viwe vya kisheria.

Vikao vya mchakato wa katiba siyo vikao vya kitchen party ambapo mnakutana tu mnamchagua mwenyekiti; au binti anayeolewa au mzazi wake anatamka tu kuwa fulani utakuwa mwenyekiti wa vikao vya kitchen party.

Tumesikia kuwa Jaji Mutungi, mtu ambaye hana kabisa credibility ya neutrality hata kwenye nafasi yake ya sasa, ambapo mara nyingi ametumika kama kibaraka wa wanasiasa kuhujumu vyama vya upinzani, eti ameitisha kikao cha kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Mambo ya kujiuliza:

1) Ni sheria gani inampa mamlaka msajili wa vyama vya siasa kusimamia upatikanaj wa katiba mpya?

2) Ni sifa zipi na zimetamkwa na sheria ipi za mtu kuwa kiongozi wa mchakato wa katiba mpya? Na hizo sifa Mutungi anazo?

3) Mutungi ni kiongozi wa vyama vya saisa, ana mamlaka yapi anayoweza kuzialika taasisi na asasi ambazo hazipo chini ya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kushiriki vikao vinavyohusiana na upatikanaji wa katiba mpya?

4) Zipi ni hadidu za rejea ambazo Mutungi amepewa katika kuhakikisha katiba mpya yenye maslahi kwa umma wa Watanzania inapatikana? Hizo hadidu za rejea nani aliziandaa, na nani alizipitisha?

5) Kwenye taarifa iliyotolewa na Mutungi ni kwamba vyama vya siasa, kila kimoja eti kitawachagua watu watakaoshiriki kwenye mchakato wa katiba. Huu ni upuuzi wa hali ya juu. Mjumbe au mtaalam aliyeteuliwa na chama fulani kuingia kwenye hiyo kamati ya katiba, kwa vile ameteuliwa na chama fulani, kwa vyovyote vile ataingia huko akiwa na fikra kuwa anatakiwa kwenda kulinda maslahi ya hicho chama kilichomteua. Hali hiyo, itageuza vikao vya katiba kuwa vikao vya kugombea maslahi ya vyama vyao. Na je, wasipokubaliana, kutatokea nini? Nani atakuwa mwamuzi wa mwisho? Chama chenye wanachama 1,000 na 1,000,0000 vitakuwa na wawakilishi sawa? Hawa wanaenda kuandaa katiba ya vyama vya siasa au katiba ya nchi?

6) Mutungi anasema eti hiyo kamati itakayoundwa na wawakilishi wa vyama vya siasa itaandaa mapendekezo. Swali: Mapendekezo yanapelekwa kwa nani? Na huyo atakayetoa uamuzi wa mwisho juu ya mapendekezo, amepewa na nani hayo mamlaka? Asipoyakubali mapendekezo yote, kutatokea nini?

Wananchi tupinge matumuzi ya hovyo ya pesa yetu kupitia mgongo wa uandaaji wa katiba. Katiba ya nchi haitengenezwi kama katiba ya vikoba. Process nzima inatakiwa kuwa ya kisheria na jumuishi.

Katiba ya mpya ya nchi siyo ya Mh. Rais Samia, siyo ya Mutungi, siyo ya CHADEMA, siyo ya CCM, wala siyo ya ACT au kakikundi fulani ka watu. Ni aheri ijulikane kuwa hatuna katiba mpya kuliko kuletewa riwaya fulani iliyoandaliwa na kakikundi ka watu, halafu tukapewa tu kuwa hii ndiyo katiba ya nchi.

Katiba inatakiwa kuwa jumuishi. Zitafutwe asasi zote zilizo rasmi na zisizo rasmi. Hata JF inatakiwa kuwakilishwa maana ni kundi kubwa la watu. Kinachotafutwa ni ushirikishwaji mpana. Makundi ya wakulima, wafanyabiashara, wafanyakazi, vyama vya siasa na wanasiasa, vyama vya kitaaluma, makundi ya wastaafu, watetezi wa haki za binadamu, uwakilishi wa kimaeneo na kikanda,taasisi za elimu, n.k. kama ni suala la gharama, kila kundi linaweza kujigharamia lenyewe kwenye usafiri, malazi na chakula. Serikali ishughulikie ukumbi na uchapaji wa nyaraka mbalimbali. Lakini kama watu watajitegemea kwa gharama, kusiwepo hata mmoja, hata kama ni Waziri, atakayetumia pesa ya umma kwaajili ya vikao vya katiba mpya.

Kumpa Mutungi usimamizi wa jambo hili inaonekana hatupo serious, tunataka kupoteza muda na rasilimali nyingine.

Mapendekezo ya Tume ya Jaji Warioba ndiyo mapendekezo pekee yaliyojumuisha watu weng kutoka maeneo yote ya nchi, na yaliyofanyiwa uchambuzi mkubwa kitaalam. Hapo ndipo mahali pekee sahihi pa kuanzia kama kuna dhamira njema ya kuipata katiba mpya nzuri inayotokana na matakwa ya wananchi, na siyo hii ya sasa inayotakiwa kutengenezwa na akina Mutungi.

Majina huumba, tusisahau ule msemo maarufu kuwa SIRI YA MTUNGI INAIJUA KATA. Tujiukize kuna siri gani juu ya jambo hili, hata mpaka usimamizi wa jambo hili muhimu sana kwa Taifa letu, kwa kizazi cha sasa na baadaye, anapewa Mtungi, mtu ambaye iwe ni kwa sheria au hata katiba iliyopo, au kupima uadilifu wa mhusika katika utendaji wake wa kazi kwa majukumu aliyo nayo sasa, kwa vyovyote vile hakustahili.
Ntarudi
 
Umenena vizuri kabisa.

Katiba siyo ya Rais, Rais ni zao la katiba. Mzaliwa hawezi kujizaa.

Mapendekezo yangu hayatofautiani nawe kimsimamo. Jambo amblo lingefanyika, kwanza ingekuwa ni kuzitambua taasisi za umma, za Serikali, asasi za kirai, asasi za kidini, vyama vya siasa, taasisi za kielimu, makundi mbalimbali yaliyo rasmi na yasiyo rasmi.

Hawa wote wapewe nafasi ya kuwateua wawakilishi wao.

Timu ya majaji iandae hadidu za rejea za Tume ya katiba.

Wawakilishi wa makundi yote wakutane kupitia hadidu za rejea na kuzipitisha.

Wawakilishi wa makundi yote wapendekeze majina matatu kwa kila nafasi kwenye kamati ya katiba. Majina hayo yaliyopendekezwa kutika kwenye orodha ya watu wenye sifa kama zitakavyokuwa zimeanishwa, na yakawa yamepiguwa kura na wawakikishi wa makundi yote, yapelekwe kwa Rais ambaye atachukua jina mojawapo kutoka kwa waliopendekezwa, na kulitangaza kwa nafasi husika, kisha wajumbe hao waapishwe na jaji mkuu kuwa wajumbe wa kamati ya katiba.

Kamati ya katiba ipitie mapendekezo ya kamati ya katiba ya jaji Warioba, kisha kufanyia marekebisho maeneo ambayo itaonekana kuna haja. Kisha waandae version ya mwisho ya katiba pendekezwa ambayo itapigiwa kura na wajumbe wawakilishi wa makundi yote.

Baada ya hapo, kazi.iwe imekwisha. Sioni umuhimu wa kuandaa uchaguzi wa wananchi wote kuipigia kura katiba. Jambo la muhimu ni uwakilishi wa wananchi kupitia makundi mbalimbali uwe mpana sana.

Kama umefuatilia vizuri naona CCM wanataka kuhodhi mchakato wa katiba mpya. Na wanahodhi mchakato wa katiba mpya sio kwakuwa wanaitaka, bali wanataka kupunguza hizi kelele. Kama wanataka kupunguza kelele, tutegemee bora katiba, na sio katiba bora.

Kwa vyovyote vile katika mazingira hayo, ni lazima wataweka wasimamizi wawatakao katika hatua mbalimbali za mchakato huo wale waaminifu kwao. Mfano sasa ni huyo Mutungi. Wanaweza wasijali sana kuhusu sheria, lakini wakatembea na kiini macho cha nia njema ya rais. Na wasi wasi wangu mkubwa, hata ikitungwa sheria, itakuwa ni ya kulinda bado maslahi yao. Ifahamike tuna bunge la chama kimoja, na upatikanaji wake unafahamika. Kwa vyovyote sheria zitakuwa ni za kujilinda wao ccm.

Kwa wingi walio nao CCM kwenye vyombo vya kutunga sheria, na taasisi nyingine za kimamlaka, sioni wakiondoa nguvu ya rais kuamua katiba iwe vipi. Huenda tukapata katiba mpya kweli, lakini sioni katiba halisi ya wananchi. Niwe mkweli wandugu, sioni katiba ya kweli ya wananchi bila machafuko, au serikali kupinduliwa tuanze upya.
 
Rais ni zao la katiba lakini pia Rais ni taasisi ambayo na yenyewe inatakiwa kuwa mshirika katika kuandaa katiba, lakini siyo kuwa mwamuzi pekee au mwenye mamlaka ya ku-dictate process.

Akipelekewa majina, na yeye kunyimwa uhuru wa kuteua jina nje ya majina aliyopewa maana yake ameshiriki lakini hajaamua pekee yake. Na kiuhalisia anakuwa amepewa nafasi ndogo ya kimaamuzi.
Huyu Rais kama angekuwa hatokani na chama cha siasa, naona hii hoja yako ingefaa zaidi, ashirikishwe yeye kama taasisi.

Lakini Rais kuwa kama taasisi, at the same time awe mwenyekiti wa chama cha siasa, kama alivyo wa kwetu, huoni hapo atatumia kivuli cha taasisi yake kukipendelea chama chake?

Hizo kofia mbili atazovalishwa atazitumia vizuri kwa manufaa ya kule atokako, nasi tukisema kwasababu Rais ni taasisi, basi tutakuwa tunajidanganya, na haya mambo yataendelea kucheleweshwa kwa mtindo huu.

Mfano, hata sasa kinachochelewesha huu mchakato wa Katiba Mpya ni matokeo ya hizo kofia mbili, how?

Kwasababu Rais kama taasisi aliyepewa majukumu ya kuanzisha huu mchakato, ndie huyo huyo anayeuchelewesha kwa manufaa ya chama chake, kwa kuacha hii Katiba mbovu inayowanufaisha tuliyonayo iendelee kuwepo.

Naamini umenipata.
 
Ndio hivyo Mkuu.

"Elites"- wengi wetu ni waoga na wapiga kelele nyuma ya keyboards tu. Wengi wetu tunahofia mibinyo ambayo ni kawaida kwa nchi zetu hizi maskini ambako demokrasia ni ya kutafutiliza tafutiliza.

Nadhani unakumbuka mibinyo ya awamu iliyopita mpaka ikapelekea wengi wetu hata kuandika tu hapa JF tulikuwa hatuthubutu. Kwahiyo ukiweka ubinafsi na hiyo mibinyo ya kupoteza mikate mezani (ubinafsi kama inavyotafsirika) basi ndio inafanya kundi la elites kushindwa kwenda front.

Wananchi wa kawaida wao wakielewa vizuri ndio huwa wakombozi maana wengi wao huwa hawazingatii sana "calculated risks" ambazo hufanywa na kundi la "elites".

Ndio maisha hayo Mkuu. Ila tuendelee kuelimishana hivihivi taratibu. Labda huko mbeleni na hili kundi litakuwa tayari kwenda front.

Sent from JamiiForums mobile app
Elites ambao wangetakiwa kuwa walimu, bahati mbaya wameamua kuwa wabinafsi, hivyo jukumu la kutoa hiyo elimu ya uraia wameachiwa wanasiasa na ambao kwa sababu ya uchache wao, itasababisha elimu husika ichelewe kuwafikia walengwa.
 
Kwanza kazi kubwa ilikwishafanywa na ile kamati ya katiba ya Jaji Warioba. Ni kazi ndogo sana iliyokuwa imebakia ambayo ingewezekana kufanyika kwa muda mfupi sana.
Nilikuwa namsikiliza Chongolo anasema rasimu/katiba pendekezwa ilikuwa ni miaka 9 nyuma, kuwa siku zimeenda sana hivyo hawawezi kwenda na kitabu cha zamani, lazima waandike kitabu kinachoenda na wakati! Maana yake ni nini, iwe ni rasimu ya Warioba, au katiba pendekezwa vyote vimepitwa na wakati, hivyo ni lazima waje na kitu kipya!

Kama katibu mkuu wa CCM, chama kinachohodhi huo mchakato anaamini rasimu ya katiba mpya ni jambo la muda mrefu, tutegemee wafanye mabadiliko, na hapo ndio wataandika vitu vya ajabu. Kwa maneno marahisi, wanaotaka katiba mpya ya maoni ya wananchi, hawana uwezo wa kuileta katiba hiyo ya wananchi, na wasioitaka katiba mpya ndio wamejipa uwezo wa kuiandika watakavyo. Tutegemee vituko zaidi ya huko nyuma.
 
Upatikanaji wa katiba mpya ni utaratibu wa kisheria, na mchakato mzima ni lazima uwe wa kisheria. Process nzima, kuanzia vikao mpaka ushirikishwaji ni lazima viwe vya kisheria.

Vikao vya mchakato wa katiba siyo vikao vya kitchen party ambapo mnakutana tu mnamchagua mwenyekiti; au binti anayeolewa au mzazi wake anatamka tu kuwa fulani utakuwa mwenyekiti wa vikao vya kitchen party.

Tumesikia kuwa Jaji Mutungi, mtu ambaye hana kabisa credibility ya neutrality hata kwenye nafasi yake ya sasa, ambapo mara nyingi ametumika kama kibaraka wa wanasiasa kuhujumu vyama vya upinzani, eti ameitisha kikao cha kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Mambo ya kujiuliza:

1) Ni sheria gani inampa mamlaka msajili wa vyama vya siasa kusimamia upatikanaj wa katiba mpya?

2) Ni sifa zipi na zimetamkwa na sheria ipi za mtu kuwa kiongozi wa mchakato wa katiba mpya? Na hizo sifa Mutungi anazo?

3) Mutungi ni kiongozi wa vyama vya saisa, ana mamlaka yapi anayoweza kuzialika taasisi na asasi ambazo hazipo chini ya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kushiriki vikao vinavyohusiana na upatikanaji wa katiba mpya?

4) Zipi ni hadidu za rejea ambazo Mutungi amepewa katika kuhakikisha katiba mpya yenye maslahi kwa umma wa Watanzania inapatikana? Hizo hadidu za rejea nani aliziandaa, na nani alizipitisha?

5) Kwenye taarifa iliyotolewa na Mutungi ni kwamba vyama vya siasa, kila kimoja eti kitawachagua watu watakaoshiriki kwenye mchakato wa katiba. Huu ni upuuzi wa hali ya juu. Mjumbe au mtaalam aliyeteuliwa na chama fulani kuingia kwenye hiyo kamati ya katiba, kwa vile ameteuliwa na chama fulani, kwa vyovyote vile ataingia huko akiwa na fikra kuwa anatakiwa kwenda kulinda maslahi ya hicho chama kilichomteua. Hali hiyo, itageuza vikao vya katiba kuwa vikao vya kugombea maslahi ya vyama vyao. Na je, wasipokubaliana, kutatokea nini? Nani atakuwa mwamuzi wa mwisho? Chama chenye wanachama 1,000 na 1,000,0000 vitakuwa na wawakilishi sawa? Hawa wanaenda kuandaa katiba ya vyama vya siasa au katiba ya nchi?

6) Mutungi anasema eti hiyo kamati itakayoundwa na wawakilishi wa vyama vya siasa itaandaa mapendekezo. Swali: Mapendekezo yanapelekwa kwa nani? Na huyo atakayetoa uamuzi wa mwisho juu ya mapendekezo, amepewa na nani hayo mamlaka? Asipoyakubali mapendekezo yote, kutatokea nini?

Wananchi tupinge matumuzi ya hovyo ya pesa yetu kupitia mgongo wa uandaaji wa katiba. Katiba ya nchi haitengenezwi kama katiba ya vikoba. Process nzima inatakiwa kuwa ya kisheria na jumuishi.

Katiba ya mpya ya nchi siyo ya Mh. Rais Samia, siyo ya Mutungi, siyo ya CHADEMA, siyo ya CCM, wala siyo ya ACT au kakikundi fulani ka watu. Ni aheri ijulikane kuwa hatuna katiba mpya kuliko kuletewa riwaya fulani iliyoandaliwa na kakikundi ka watu, halafu tukapewa tu kuwa hii ndiyo katiba ya nchi.

Katiba inatakiwa kuwa jumuishi. Zitafutwe asasi zote zilizo rasmi na zisizo rasmi. Hata JF inatakiwa kuwakilishwa maana ni kundi kubwa la watu. Kinachotafutwa ni ushirikishwaji mpana. Makundi ya wakulima, wafanyabiashara, wafanyakazi, vyama vya siasa na wanasiasa, vyama vya kitaaluma, makundi ya wastaafu, watetezi wa haki za binadamu, uwakilishi wa kimaeneo na kikanda,taasisi za elimu, n.k. kama ni suala la gharama, kila kundi linaweza kujigharamia lenyewe kwenye usafiri, malazi na chakula. Serikali ishughulikie ukumbi na uchapaji wa nyaraka mbalimbali. Lakini kama watu watajitegemea kwa gharama, kusiwepo hata mmoja, hata kama ni Waziri, atakayetumia pesa ya umma kwaajili ya vikao vya katiba mpya.

Kumpa Mutungi usimamizi wa jambo hili inaonekana hatupo serious, tunataka kupoteza muda na rasilimali nyingine.

Mapendekezo ya Tume ya Jaji Warioba ndiyo mapendekezo pekee yaliyojumuisha watu weng kutoka maeneo yote ya nchi, na yaliyofanyiwa uchambuzi mkubwa kitaalam. Hapo ndipo mahali pekee sahihi pa kuanzia kama kuna dhamira njema ya kuipata katiba mpya nzuri inayotokana na matakwa ya wananchi, na siyo hii ya sasa inayotakiwa kutengenezwa na akina Mutungi.

Majina huumba, tusisahau ule msemo maarufu kuwa SIRI YA MTUNGI INAIJUA KATA. Tujiukize kuna siri gani juu ya jambo hili, hata mpaka usimamizi wa jambo hili muhimu sana kwa Taifa letu, kwa kizazi cha sasa na baadaye, anapewa Mtungi, mtu ambaye iwe ni kwa sheria au hata katiba iliyopo, au kupima uadilifu wa mhusika katika utendaji wake wa kazi kwa majukumu aliyo nayo sasa, kwa vyovyote vile hakustahili.
Your tone tells everything. The process will continue and you will join the process later as usual.
 
Huyo Mitungi anajipa kazi ambayo haiwezi na hana Kwanza mamlaka kisheria. Pia yupo bias Sana.
 
Back
Top Bottom