Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 640
Acha kutapika mashudu hapa.Chama cha maandamano na wapanga mipango ya ugaidi je mbona hukisemi?
We, jiongopee tu kwakuitathmini huko kwenukaskaziniHaya ndio matatizo ya CUF ya kufuata mkumbo na kukubali kutumiwa na CCM kama toilet paper.
Hakuna tena mchakamchaka wala mkukumkuku.
CUF imekwisha kabisa!!!
Mkuu kwetu Sumbawanga, mkoani Rukwa, kwa sasa niko Dar na mara kwa mara nipo hapa Lumumba.We, jiongopee tu kwakuitathmini huko kwenukaskazini
Haya mkuu,ila yetu macho,maana hata Igunga mlisema hivyohivyo ila kura 12,000 zikashuka hadi 2,000!Naunga mkono hoja yako. Kwanza watambue CUF halijafa na haliwezi kufa kamwe wakibisha waje mikoa yote ya Pwani na Kusini waone jinsi CDM kivyo dharauliwa (kimekosa wa kukiunga mkono) binafsi mimi ni mpinzani, lakini nikheri ya CCM kuliko CDM.
anae sema cuf imekufa huyo atakua na hitlafu kwenye akilizake. Kwanza anatakiwa atambue kua mpinzani wa kweli ni cuf wengine ni vishuruala tu. Angalia historia ya cuf na misuko suko iliyo ipata kama mpinzani angalia vifungo walio pitia viongozi wake akina maali seiph, juma hadj duni wote washapinda ubavu mmoja kwasababu ya harakati zao za kuitetea haki ona profesor alivyo chezea kipigo pale keko yote ni harati za kweli. Sasa kiongozi gani ndani ya cdm aliye pata misuko suko japo kupigwa kofi tu. Hapo utagu ndua kua cdm ni chombo kilicho undwa kunyamazisha upinzani, ni isia zilizo anzia kanisani na kupokewa na waumini wake kama mkombozi wao.
Anae sema CUF imekufa huyo atakua na hitlafu kwenye akilizake. Kwanza anatakiwa atambue kua mpinzani wa kweli ni CUF wengine ni vishuruala tu. Angalia historia ya CUF na misuko suko iliyo ipata kama mpinzani angalia vifungo walio pitia viongozi wake akina Maali Seiph, Juma Hadj Duni wote washapinda ubavu mmoja kwasababu ya harakati zao za kuitetea HAKI ona Profesor alivyo chezea kipigo pale keko yote ni harati za kweli. Sasa kiongozi gani ndani ya CDM aliye pata misuko suko japo kupigwa kofi tu. Hapo utagu ndua kua CDM ni chombo kilicho undwa kunyamazisha upinzani, ni isia zilizo anzia kanisani na kupokewa na waumini wake kama mkombozi wao.