General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
warawarawarawaa,!!! hapo lowassa hajafikaaa
Majita kati.Kigera ni wapi mkubwa?
Ahsante wana tanga
Kuna mheshimiwa "aliwazalau" sana wajomba zangu akidai kuwa UKAWA hawakuwa na haja ya kufanya kampeni mkoa ule. Nikamwambia, kumi huanza moja.
Naamini jana amepata majibu maana WanaTanga wametoa mtihani kwa FISI WENU bila notes.
2015 Mchaka mchaka mpaka Ikulu leo mchana CHADEMA Team ya Anga kanda ya ziwa ukiongozwa na Kamanda Vincent Nyerere mgombea ubunge jimbo la Musoma Mjini akiongozana na wageni wengine watatuwa na Helicopter katika viwanja vya shule ya msingi Kigera. Hii ni moja wapo ya kampeni kanda ya ziwa Futa CCM wawe wapinzani 2015.
Tafuta kura Piga kura Linda kura goli la mkono mwisho bafuni.
Push up Tanga walijibu Jana.
![]()