Mchaka mchaka mpaka Ikulu Musoma mjini

Mchaka mchaka mpaka Ikulu Musoma mjini

Voice of Mara

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
358
Reaction score
127
2015 Mchaka mchaka mpaka Ikulu leo mchana CHADEMA Team ya Anga kanda ya ziwa ukiongozwa na Kamanda Vincent Nyerere mgombea ubunge jimbo la Musoma Mjini akiongozana na wageni wengine watatuwa na Helicopter katika viwanja vya shule ya msingi Kigera. Hii ni moja wapo ya kampeni kanda ya ziwa Futa CCM wawe wapinzani 2015.

Tafuta kura Piga kura Linda kura goli la mkono mwisho bafuni.

Push up Tanga walijibu Jana.
attachment.php
 

Attachments

  • 1443506448486.jpg
    1443506448486.jpg
    32.6 KB · Views: 3,244
ccm wanakosaje usingizi.Magufuli kabakiza kuruka kichura chura tu baada ya hapo sijui atakua na kituko gani tena. Bumbuli washatuma ujumbe kwa makamba jr......haahaaha dah! wananchi wakiamua hua hawana unafiki , binafsi ninekubali kwamba wanamtaka LOWASA kwa dhati.
 
Vijana wa IT masaki wamekata tamaa kabisa nadhanj baadhi yao washaenda ukawa tayari waana wamesoma nyakati
 
watu wana maneno..."goli la mkono mwisho bafuni"!?
 
Hii team ya vincent nyerere na james lembeli ni hatari sana kwa ustawi wa magamba mchukueni na mawazo..
.
Pawaaaaaaaaaaaa




.........!
 
Magufuli akitengua kiuno kwenye pushap CCM kwisha habari yake maana yake CCM wote wamejishikiza kwenye kiuno cha Magufuli.
 
Hahaha vijana wa JM , IT-MASAKI sasa hivi hawana hamu kabisa.
Usicheze na Jeshi la kujitolea.
mkuu hakuna sehmu yeyote duniani nguvu ya umma ilishawahi kushindwa ccm wajuwe kabisa red card imesha nyooshwa juu na tume sasa pindua pindua zile zao watahama hii nchi bila kutegemea tunalinda kura zetu tunatangaza mshindi kituoni tunaweka record wa speed ya jumbo jet ole wao
 
Back
Top Bottom