Sheta anaimba hiphop gan?au nimechokwa,nidanganyedanganye,mdananda na bonge la bwana ndo hiphop unazozijua ww?
Hapo kwa sheta mweke DARASA!
Kwani nishike mkono imefanya vizuri mwaka huu!
Na hapo ktk rnb toa domo,dimpoz na umweke Rama D!
So
1.Darasa
2.Rama D