Mchagua jembe si mkulima!!!!

Mchagua jembe si mkulima!!!!

Mchagua pikio si mpishi
Ila hiyo ya pasi kuchemshia maji nimeipenda sana.
 
Mchagua pikio si mpishi
Ila hiyo ya pasi kuchemshia maji nimeipenda sana.

umeona ee inaserve sana yaan ukimaliza kunyoosha nguo zako ukiwa unajipodoa kidogo chai inaendelea kuchemka hii style ni bana matumizi coz huhitaji kuwa na jiko la nni sasa???lol
 
Back
Top Bottom