Mchagga huyo.

Mchagga huyo.

tan 90

Senior Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
182
Reaction score
36
Mama mmoja wa
Kichagga kaenda kwa
mara ya kwanza kwenye
hoteli moja ya kitalii.
Akaketi meza moja na
wazungu watatu. Mara
mhudumu akaja na
kuwauliza wale wazungu
kinywaji
watakachokunywa . Wa
kwanza akazema, "JOHN
WALKER SINGLE". Wa pili
akasema, "CAPTAIN
MORGAN SINGLE". Wa tatu
akasema, "JACKIE DANIEL
SINGLE". Mama yule kwa
ugeni wake akadhani
walikuwa wakitaja
majina yao na hali zao za
mahusiano. Mhudumu
alipomuuliza yule mama
akajibu, "MANKA
PANTASARI MUSHI
MARRIED!
 
Umekaa sana muda bila kuwaandama wachaga sio? Ok! Tumeona tayari so peleka jukwaa husika!
 
chinekeeeeeeee!:violin:raha ya chungwa umenyewe kisha ukatiiiiii ukatiwe kweliii!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom