Mchagga auziwa fire extinguisher badala ya mtungi wa gesi

Mchagga auziwa fire extinguisher badala ya mtungi wa gesi

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Wakuu,

Kuna tukio la kushangaza limetokea jana baada ya jamaa Mchagga kuuziwa fire extinguisher ya kuzimia moto badala ya mtungi wa jiko la gesi. Ilikua hivi:

Huyu jamaa wa Kichagga, baada ya kufika dukani alikuta kuna mitungi ya aina mbili, fire extinguishers na mitungi ya gesi. Sasa kwa kuwa hii mitungi hufanana kwa rangi na shapes zake, ikapelekea huyu Mchagga kulipia fire extinguisher na kuondoka nayo kwa haraka badala ya mtungi wa gesi. Ama kweli duniani kuna vimbwanga.
 
Ungeandika 'JAMAA' badala ya MCHAGA unadhani story yako isingeleta maana?
 
really?:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Kwann aandike JAMAA wakati inamhusu mchaga??

Ka ndo ivo Basi humu nyuzi zingejaa makabila.kungekua hamna tofauti ya mwanaume wala mwanamke,mzee wala kijana,yani kungekua tuu na title za kikabila,kuna mnyakyusa,huyu mmasai,wale wagogo.hzo ni fujo...
Ukabila unaanzaga ivo ivo.
 
Ni kawaida sana tu,mbona kumekuwa na jokes nyingi kuhusu wamasai na wala watu hawaongeagi au mchaga hatakiwi kufanyiwa jokes??...
 
Ndooooooooorobo wewe mtoa mada,si afadhali post hii ungeituma ze commedy
 
Back
Top Bottom