Mchaga na pesa

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,257
Reaction score
649
Mchaga mmoja alidondoka kisimani,akapiga kelele huku akiwa anatapatapa,mkewe akaja na kamba mpya akamrushia iliamvute,mume akamuuliza umenunua shs ngapi hiyo kamba?Mke akajibu buku(1000),akamwambia irudishe sasa hivi nenda kwa mangi anauza jero tu(500) fanya fasta ntazama!!!!!
 

Hii kali...
 
Watu muwe mnaangalia previous posts kabla ya kuanzisha thread jamani!
 
Mchaga anakufa njaa wakat anayohela mfukon.
 
imekuwa ikirudiwa mara nyingi sana hii humu....
 
marudio ya wanaume
 

yesuu mmezidi kutunanga wachaga!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…