Mchaga na mzaramo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchaga na mzaramo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by suri, May 5, 2012.

 1. suri

  suri JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mchanga kapata demu wa kizaramu,wakati wanavua nguo mchaga akaona shanga kibao kiuonani kwa demu wa kizaramu akashangaa!Yesuu...we binti,hizo rozali zimeibiwa parokia gani?
   
 2. m

  mwibanchani Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we kabila gan? vp mzaramo akiona rozali atajiulza zimeibiwa ngomani....?
   
Loading...