Mchaga na Mpemba.

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,804
Mchaga na Mpemba walipewa chumba Cairo ili kusubiri ndege ya kuunganisha kesho yake.
Mpemba alikuwa anaenda kufunga mali Oman na Mchaga akiwa anaenda masomoni Abroad.
Cha ajabu usiku kucha hakuna aliyelala, wote walikesha wanatazamana.
Unafikiri kwanini walikesha?
.
.
.
Mpemba alikuwa anaogopa ataibiwa hela zake na mchaga, While
Mchaga alikuwa anaogopa asijefanyiwa mchezo mchafu na mpemba..
 
Mh!wapemba wafiraji au waarabu..?teh teh!inahitaj uchungz hi.
 
naelekea zangu hukoo...samahani kwa usumbufu!
 
Mh! Nimeingia chumba cha watu bila hodi! Thamahani
 
Hahaaa mpemba anapenda viuno na ndio maana Chaga haikutaka kufanywa mambo:lock1:
 
Teeh! teeh! Mchaga mwizi mpemba mfilaji kazi ipo hapo!

kaka huu uwanja hautembelewi na watu wenye akili km yko tu,kuna watu wenye akili timamu ambao pia hupita hapa so jaribu kutafuta tafsida ya baadhi ya maneno yko.
 

duh una maana wapemba ndo mana tabia hiyo.acha kututukana bana
 
haa haaa haaaa haaaaa.... thanx
 
Nimechoka kuskia hizi kashfa mara warabu au wapemba wanatabia chafu,ina niuma sana kukashfa asili yangu.mbona hatukejeli makabila yenu? Wakati sote ni watanzania haijalishi utofauti wetu wa rangi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…