MCHAGA NA MKWE WAKE(bora mahari yaishe)

MCHAGA NA MKWE WAKE(bora mahari yaishe)

Kessy Hamisi

Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
24
Reaction score
8
Jamaa baada ya kugundulika kuwa ni yeye aliyempa mimba mtoto aliamua kwenda kujisalimisha kwa wazazi wa mwanamke
JAMAA:Shikamoo baba,mimi ndiye niliyempa mimba binti yako lakini siwezi kumuoa ila kama akizaa mtoto wa kiume nitakupa Milioni 50,kama akizaa mtoto wa kike nitakupa Milioni 20 lakini mzee je kwa bahati mbaya mimba ikiharibika tufanyaje?

MCHAGA😀aah! haina jinsi baba'angu itabidi uumpe mimba nyingine.
 
Back
Top Bottom