Wewe Fara kweli.....
Ngoja upate huyu wa;
1. "Baby mama yangu anadaiwa 10milion ya kikoba nisaidie basi""
2." Baby nimepoteza ile simu uliyoniletea Jana, fanya mpango basi nimemiss WhatsApp ""
3. "" Baby unajua kwenye kitchen part ya Suzi tutavaa less wig za 800,000"
4. "" baby, nimechukua mkoba kwa mkopo wa 350,000 so utalipia next week""
Mkuu hapa vipi?