Mchaga apelekwa Moshi na fisi

Mchaga apelekwa Moshi na fisi

Huo ni uongo mtakatifu Kamwe hiyo haiwezi kutokea wala kufanywa na Wachagga, hiyo ni kwa watu wa Tanga au Sumbawanga.
Hakuna mchagga anayeweza kufanya hayo mambo.
Wewe,funguka macho,hakuna kabila lisilo na ushirikina hapa bongo.
 
Huo ni uongo mtakatifu Kamwe hiyo haiwezi kutokea wala kufanywa na Wachagga, hiyo ni kwa watu wa Tanga au Sumbawanga.
Hakuna mchagga anayeweza kufanya hayo mambo.

Acha kuukana ukweli ww, ushirikina upo kila sehemu!
 
Huo ni uongo mtakatifu Kamwe hiyo haiwezi kutokea wala kufanywa na Wachagga, hiyo ni kwa watu wa Tanga au Sumbawanga.
Hakuna mchagga anayeweza kufanya hayo mambo.

Ndugu yangu wacha kabisa. Zamani wachaga walikuwa na uchawi wa kununua. Lakini siku hizi ndo magwiji, Wanaloga wenyewe....................!:A S 39:
 
Huo ni uongo mtakatifu Kamwe hiyo haiwezi kutokea wala kufanywa na Wachagga, hiyo ni kwa watu wa Tanga au Sumbawanga.
Hakuna mchagga anayeweza kufanya hayo mambo.

Binafsi sina uthibitisho wa habari hii maana na mimi nimesimuliwa tu,Lakini kwa huu utetezi unaoleta wa kutetea kitu kibaya kwa kuwa kinafanywa na wanaokuhusu au kufanana na wewe nakuhurumia sana dogo amka dunia ndio hii hii.
 
Huyo babu ni mchaga wa moshi ipi.Sibishani na hiyo story kwani zamani kuna kabila moja Arusha walikuwa wanafuga na kupanda fisi usiku nilishawahi kwenda kuyachungulia dereva anageuka nyuma anaangalia walipotoka ila babu atakuwa amefanyiziwa na watu wa huko Dar sio wa moshi

Sina kumbukumbu nzuri ila nadhani ni kati ya marangu au machame.
 
Umdhaniye siye kumbe ndiye,
Mbona wanaomba ujuzi wa biashar kwa wakinga?
Wao si ndio sasa wameamua kuvuka hadi Nigeria,
au hilo nalo geni?

Tatizo letu binadamu tunakuwa wagumu kukubali mabaya yanayotuhusu,mara nyingi tunapenda kuyaona yanatokea kwa wengine tu.wachaga wamekuwa wanga kishenzi na kwa sasa wanaumizwa sana vichwa na wakinga hasa pale kkoo.
 
Jamani si wanipeleke na mimi ulaya?
 
Mchagga hafundishwi biashara, hiyo ni natural iko damuni, kwamba fani zote zikicheua akijikita kwenye biashara anatoka.

Naamini wamekwenda huko kufanya biashara na si vinginevyo.

Ukiona mahali wachagga wapo ujue sehemu hiyo pesa inapatikana.

Acha dhana ya ujinga ya kujivunia kabila wewe na kujipa sifa njema zote usizokuwa nazo,Jivunie wewe binafsi na nafsi yako na matendo yako mema.
 
Back
Top Bottom