Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
Tuonyeshe matusi aliyotukana.tatizo lenu magamba you call a spade a big spoon.hebu lingnisha na kauli hizi alafu to draw conclusion nani katukana hasa:mramba nitanunua ndega ya rais hata kama watanzania wanakula majani.magufuri asiyetaka kulipa nauli ya sh 300 apige mbizi.simbachawene atakayeona umeme ni aghari awashe kibatari.fikria kidogo alafu urudi.
Sasa tusi liko wapi hapo? Au ni macho yangu? Mkuu tafuta hoja nyingine tuchangie! Au ni hilo neno "period" ndio limekupa shida? Kachukue dictionary itakusaidia lakini pia upate maana kwa muktadha wake!Habari za Jioni hii.
Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.
"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa
Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.
Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????
Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???
Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???
Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????
My take;
Mchungaji jirekebishe.
Huyu ni mchungaji wa mbuzi au nguruwe.
Habari za Jioni hii.

Wa waislam
Kamanda mi ninavyokufahamu,unaonekana ni mtu wa makamo! Lakini akili yako ndogo kama kete ya kuchezra bao!
Habari za Jioni hii.
Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.
"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa
Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.
Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????
Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???
Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???
Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????
My take;
Mchungaji jirekebishe.
mkuu tumekumiss jukwaa letu lileAlibaka Huyo kanisani sisi ishu yake tunaimezea
tatizo lenu nyie hamtaki kuona au kukubali makosa kwa watu mnaowapenda ndio maana akina babu wanafanya wapendayo mnawateteaKama uzee ndio huu mi sizeeki kamwe!
mzee gani hujui la kuongea?
mkuu tumekumiss jukwaa letu lile
Huyu ni mchungaji wa mbuzi au nguruwe.
labda nyuma ya laptop yangu lakini kwa huku mbele sijaliona hata tusi la mwilini achiliambali la nguoni.....hapa sasa ndipo utakapoona matatizo ya watanzania hivi huyu mwenzetu kabla ya kuandika haya alitumia nini kufikiri?