Mch. Peter Msigwa (Mb), atukana

Status
Not open for further replies.

Amesema lipi na wewe umeongezea Lipi???
 
Watu wa aina ya Msigwa,Afande Sele,Sugu,Lema ndio vichwa vya Chadema
 
Moderators siku hizi sijui wamelala? Thread zinaibuliwa kama uyoga. Ukizifungua hazina chochote.
 
This mzee has comitted a falacy of generalization. Pia amemuelewa vibaya mbunge.
 
Tuonyeshe matusi aliyotukana.tatizo lenu magamba you call a spade a big spoon.hebu lingnisha na kauli hizi alafu to draw conclusion nani katukana hasa:mramba nitanunua ndega ya rais hata kama watanzania wanakula majani.magufuri asiyetaka kulipa nauli ya sh 300 apige mbizi.simbachawene atakayeona umeme ni aghari awashe kibatari.fikria kidogo alafu urudi.
 

Huyu kazaliwa hivyo, kamwe hawezi kujirekebisha. Mtatukana sanaaaaa, na bado mtachanga, mtapanga foleni kumpigia kura, n.k. Na yeye ataendelea kuwatukana.

Hii ni part gazeti subiri kali yenyewe. Mchungaji payuka, wakikasirika waombee tena waombee sna ile ya Mozes Kulola. Waoga hao watakuchagua tu kwanza hawana mtu kwenye jimbo lao. Na watafukuza wangapi.

Nilisahau, Hivi mchungaji kwanini umekaa kimya kuhusu suala la sakata ya Zitto. Toa tamka lako au ndio mwenzio kanyolewa wewe unatia maji.
 
Moderators siku hizi sijui wamelala? Thread zinaibuliwa kama uyoga. Ukizifungua hazina chochote.


Acha kulia lia hovyo, Jibu hoja.

Chama chenu kinaruhusu kuwadharau wanachama wenu????
 

Huyu Mzee ni mgonjwa wa akili, hajapona kabisa, hivi siku hizi kwenye FB watu wanazungumza kwa mdomo au bado ni mtindo uleule wa kuandikiana kwa kuchat? Kama Mzee hajui tofauti ya kuzungumza na kuandika, basi kwa umri tu, inaonyesha Mzee huyo ana critical mental disorder problem.
 

Mzee mwenzangu sasa naona umechoka kwelikweli, hebu onyesha tusi alilotukana hapo.
 
Duuh kwa hiyo wale Waasi wa RDC wameanzia mbali sasa hivi wapo M23 wakati huku Bongo ndo twaanza na M1,M2,M3 na M4 tu...
 
unajua kusoma? Au umerukia mstari wa mwisho? Tofautisha kati ya wengi wenu na wote nadhani upo kwenye wengi ndo maana unapiga ukunga!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…