Tumsamehe bure amekurupuka utathani amefumaniwa,,, amekosa hekima kidogo hisia zake ndo zinampelekesha
Mkuu mbavu sina.Huenda mleta mada ni M2...si mwawajua wazee wa Usaliti!
Habari za Jioni hii.
Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.
"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa
Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.
Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????
Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???
Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???
Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????
My take;
Mchungaji jirekebishe.
labda nyuma ya laptop yangu lakini kwa huku mbele sijaliona hata tusi la mwilini achiliambali la nguoni.....hapa sasa ndipo utakapoona matatizo ya watanzania hivi huyu mwenzetu kabla ya kuandika haya alitumia nini kufikiri?
Haya ni makubwa. Kwani ukiona kiongozi wa dini tena mchungaji wa waumini anatoa manena machafu ujue ndio mwisho wa ...
Haya tuvute subra tuone.
Habari za Jioni hii.
Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.
"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa
Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.
Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????
Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???
Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???
Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????
My take;
Mchungaji jirekebishe.
Barubaru
Ninafikiri sera ya chadema ni matusi na kejeli.
Kiongozi mwenye akili timamu hawezi kumtukana nwanachama.

Mfando PINDA alivyoambiwa -------- ndiyo tusi au matusi yepi unayazungumzia?
Habari za Jioni hii.
Haya ni maneno ya Mch. Msigwa wakati akimjibu mdau Facebook.
"Msimaamo wangu ndio huu ,kwanza wengi wenu humu fb hamna mchango wowote wa maana kwenye chama. period!!nasubiri mnitukane" By Mch Peter Msigwa
Hawa ndio viongozi wanaotaka tuwakabidhi nchi, wasio jua hata thamani ya midomo yao.
Wale wanaojitokeza ktk maandamano yao hawana mchango wowote????
Wale wanaojitolea vi mia mia vyao kwenye mikutano, hawana mchango wowote???
Wanaoshinda kwenye folenj ili waipigie kura chadema hawana mchango wowot???
Wanaojitolea kufungua matawi hawana msaada wowote ktk chama????
My take;
Mchungaji jirekebishe.
Msigwa toka aunde urafiki na MBOWE na SUGU ni kama ameacha wokovu.