Mch. Peter Msigwa (Mb), atukana

Status
Not open for further replies.
Mmekosa pa kukamata sasa mnamtega kwenye maneno haya sasa tunakutupia kama unadeka kawadekee ccm period mzee hovyo sana
 
wazee kama wewe ndiyo wale aliowasema nape kuwa wanasibiri kufa..


Asante umemwambia kwani nilitamani majibu haya haya yamrudie huyu member Mzee umeyapata haya ya Nape?
 
Last edited by a moderator:
kwa kuwa wewe ni mzee kwa vyovyote vile utakuwa umeathiriwa na kiharusi hivyo imepeleke kusahau kuwa ni maneno yapi matusi na yapi siyo matusi.
pole lkn kwa kufedheheka kiasi hicho.
 
We mzee una matatizo ya akili wah mirembe chap, kama nmekutkana nsamehe ila wewe n taahira na nna wasisi ulianza kutoka miguu co kichwa,,,
 
...unastahili kutukanwa wewe.,
 
wewe una mchango gani katika chama kama siyo kibarua wa magamba
 
Haya ni makubwa. Kwani ukiona kiongozi wa dini tena mchungaji wa waumini anatoa manena machafu ujue ndio mwisho wa ...


Haya tuvute subra tuone.
 
Hata kondoo hawawezi kukubali kuongozwa na mtu kama msigwa.
 
Itafika hatua atajinyonga kabisa huyu mchungaji uchwara.
 
hoja za kuisema chadema vibaya watubwanatukanwa sana mbn hekima hamna na mtambue siasa ni hoja tu basi ila matusi hayapendezi
 

Usiwe mjinga wewe na kupotosha .Kasema kwenue Facebook nami naongeza wengi wa JF hapa na huko Ulaya na USA hawana mchango tofauti na maneno ya mitandaoni .Unasemaje sasa .
 

Hapo hakuna Tusi,ni Kama vile Sugu alivyosema PM ni Mpumbav.u.
waandamanji hawana muda wa kupoteza Facebook.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…