Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,891
Nimekugongea LIKE na nimekuongezea Reputation power zako kwa bandiko lako hili na nisign kama Guest kwenye wall yako yako ya Guests. Tumepungukiwa na Great Thinker humu sasa watu wanapayuka payuka tu.Asilimia kubwa ya watu wana comment huu uzi inaonekana hata kipindi chenyewe hawajakiangalia, kwanza aliponda sana nguvu inazotumia polisi dhidi ya waandamanaji, alihoji pia, ilikuaje waislam waende waandamane hadi makao makuu ya polisi, yaani wizara ya mambo ya ndani?
Kwasababu watu wameisha kuwa sugu, akasema, sifa moja wapo ya kumchagua kiongozi (alitolea mfano, kama unataka kumchagua mzee wa kanisa) angalia, je anapendwa na watu? kila ukimtazama, unaona kuna watu wengi wanamzunguka, hivi hapa kwanini tusiseme alikuwa anawafagilia indirect akina Dr. Slaa, kwani pamoja na kwamba wanapokuwepo kunakuaga na tension kubwa sana ya polisi, still watu wanaenda wengi tena kwa nauli zao.
Tujifunze kuchangia kitu kama kweli tunakijua vizuri badala ya kuponda kila kitu au kupongeza kila kitu while hatuna details za hicho tunacho kisema.
Mchungaji Antony Lusekelo kwenye kipindi chake cha chanel ten usiku huu, kasema CCM ni chama cha ukombozi. Ameonesha kujipendekeza sana kwenye chama hiki. Aidha amedai mvua za el nino zilizotabiriwa na mamlaka ya hali ya hewa hazitakuwepo, kwa mujibu wa maono yake.
Huna tofauti na wale wanaopinga filamu na cartoon ya kumdhalilisha mtume wakati hata hawajaiona. hear saying ni mbaya sana, unaweza kulishwa sumu kwa mtazamo wa mtu mmoja binafsi.
Chadema kama ndio ina watu wenye mtazamo huu tukiwapa nchi mtageuka madikteta kama hamtaki kusikia habari kinyume na matakwa yenu. Lusekelo hana tatizo lolote kwa kipindi chake cha jana licha ya kwamba hata mimi najuwa fika yeye ni mganga njaa tu.
kwaio chanel 10 amelipia siasa au injili?? we mchungaji gani na balzamen tu wa mbagala uyu hana lolote bendela fata upepoNaomba tumtendee haki Mchungaji Lusekelo, nimeangalia kile kipindi tangu mwanzo mpaka mwisho. Mbali na kuongelea mvua za elnino ambazo ameziongelea mwisho wa kipindi, yeye alitumia muda wake mwingi kuwaasa watawala wanaotumia vyombo vya dola kuua raia wasio na hatia. Pia amesema jambo hilo la mauaji kwenye mikutano ya siasa kama watawala wanalitumia ili kuwatisha wananchi basi mbinu hiyo haijafanikiwa na badala yake wanawajengea usugu watanzania. Ametolea mfano wa Maandamano ya wana habari na kufukuzwa kwa waziri mwenye dhamana na jeshi la polisi, pia ameongelea umati wa watu uliohudhuria mapokezi ya viongozi wa BAVICHA Morogoro kwamba pamoja na mauaji haya yanayofanywa na vyombo vya dola bado wananchi hawaogopi kukusanyika na wanakuwa sugu zaidi.
Akasema viongozi wa sasa wanakidhalilisha CCM na kusahau kuwa ni CHAMA kilichoasisi UKOMBOZI wa bara la Afrika na kuwataka viongozi hao waende na wakati kwa kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani na wasiwe na FIKRA mgando za kukandamiza mabadiliko haya na wakubali ukweli juu ya uwepo wa DEMOKRASIA nchini na duniani. Aliwataka pia watawala kuwa wabunifu ili kuendeleza mipango ya maendeleo ya nchi na wananchi wake badala ya kuwa wauaji.
kweli nimeamini sasa kua JF ni jukwaa la umbea,kwa yeyote aliangalia kipindi ataungana na mimi kua muanzisha mada hakuelewa hata kilichosemwa na sijui kaja na mtazamo huu kutoka wapi,inakera inaudhi sana kuwadanganya watu na watu hao pasipo kuutafuta ukweli kuchangia kitu wasichokijua wala haki exist na kujisifu kua ni great thinkers,nathubutu kuwaita wajinga,Yes waliochangia kusuport hii mada ni wajinga
Naomba tumtendee haki Mchungaji Lusekelo, nimeangalia kile kipindi tangu mwanzo mpaka mwisho. Mbali na kuongelea mvua za elnino ambazo ameziongelea mwisho wa kipindi, yeye alitumia muda wake mwingi kuwaasa watawala wanaotumia vyombo vya dola kuua raia wasio na hatia. Pia amesema jambo hilo la mauaji kwenye mikutano ya siasa kama watawala wanalitumia ili kuwatisha wananchi basi mbinu hiyo haijafanikiwa na badala yake wanawajengea usugu watanzania. Ametolea mfano wa Maandamano ya wana habari na kufukuzwa kwa waziri mwenye dhamana na jeshi la polisi, pia ameongelea umati wa watu uliohudhuria mapokezi ya viongozi wa BAVICHA Morogoro kwamba pamoja na mauaji haya yanayofanywa na vyombo vya dola bado wananchi hawaogopi kukusanyika na wanakuwa sugu zaidi.
Akasema viongozi wa sasa wanakidhalilisha CCM na kusahau kuwa ni CHAMA kilichoasisi UKOMBOZI wa bara la Afrika na kuwataka viongozi hao waende na wakati kwa kuzingatia mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani na wasiwe na FIKRA mgando za kukandamiza mabadiliko haya na wakubali ukweli juu ya uwepo wa DEMOKRASIA nchini na duniani. Aliwataka pia watawala kuwa wabunifu ili kuendeleza mipango ya maendeleo ya nchi na wananchi wake badala ya kuwa wauaji.
Anthony Isyu lya kyala likutobile, wandile kangi ni syasya sya sisiemu kangi! Po sikukutoba wakukaya. Bhangogile UNDAVITI UWAMWANGOSI ukapilika? Sili bule bule kangi?