Mch Gwajima atoa "comments" zake juu ya Baraza la Mawaziri

Gwajima mkali.sana viongozi wote wanamnyenyekea na kujiharishia


Taratibu, kiongozi gani kajiharishia? chunga comments zako us I watching an is he viongozi na Mch Gwajima.. namheshimu Mtumishi wa Mungu anayejitambua na anayesema ukweli
 
Kwa taarifa yako usishangae muda si mrefu Magufuli akafanya vibaya kuliko maraisi waliomtangulia Tanzania na wanafiki wote wakaumbuka na wengine kumwombolezea kwa kifuru zenu mitaani

Wachawi mpo wengi sana: Lakini kwa jina la yesu aliyehai mshindwe na mlegee, Magu atasonga mbele na atakwenda kurudisha heshima ya nchi hii, hapa hakuna unafiki, wanafiki wanatoka wenyewe mafichoni si unakumbuka maombi ya Gwajima wakati wa kufunga kampeni pale jangwani, aibu yake.

Wanafiki Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Baada Ya Kuitukana Serikali Na CCM Kwa Maslahi Yake Binafsi Sasa Ndiyo Anajifanya KUJIKOSHA? Kawe Kahamishwa Na Tayari Hata Hapo Ubungo Keshapewa Notisi Ila Anaona Tu Aibu Kuwaambieni MAPOPOMA Wenzake. Japo Anawaficheni Ila Sasa Yupo Ktk Hatua Zake Za Mwisho Za Kutaka Kuhamia Rasmi Nchini KENYA Mkoa Wa MOMBASA Baada Ya Kuona Kuwa Watu Wameshamshtukia Kuwa Yeye Ni Raia Wa Nchini Burundi Japo Yeye Anasema Kuwa Ni MSUKUMA ALIYETUKUKA Huku Wengine AKIWADANGANYA Kuwa Yeye Ni MUHA Wa KUTUKUKA. Dada Yake Mkubwa ( Baba Mmoja, Mama Mmoja ) Aishiye Mbezi Beach Makonde Mkabala Na Mbezi Garden Hotel ( Jina Nalihifadhi ) Anamshangaa Mno Mdogo Wake Kwa Aina Ya UPOPOMA Anaoufanya Wakati Akijua Fika Kuwa Hapa Tanzania Wamefanya KUFADHILIWA Kama Si KUHIFADHIWA Tu.

unayumbayumba sana mjomba tuliza shinikizo la damu hilo
 
Huyu si kiongozi bora wa dini. Viongozi bora wa dini ya mungu, huwekwa na mungu lakini Gwajima amejiweka mwenyewe kuwa kiongozi wa dini. cha kumpongeza ni kwamba ameliona kosa lake na ameamua kutumia kanisa lake kutubu ingawa hajatubu yote aliyoyatenda wakati wa mchakatowa uchaguzi ikiwa ni pamoja na kuwalazimisha waumoni wake kuwa wanachama wa chadema. Tuzidi kumuombea kwa mungu, ili hili na mengine yaliyobaki aweze kutubu ili na yeye aje auone ufalme wa mungu.

Ameni

Amen! Amen!
 
Mtu mzima hasemi samahani ila kwa busara zake usamehewa ..nadhani Gwajima anajutia na anatubu, asemehewe. Umefanya vyema Gwajima na maneno yako iwe kweli yako

Akatubu kwanza kwa kuchukua mke wa mtu , hana lolote huyu kiongozi wa misukule !
 
Askofu Gwajima Mungu akubariki.

Ni yule tu ambaye kiroho chake kimekomaa (spiritual maturity) anaweza kufanya hivyo.

Nitajisikia vizuri pia nikiona umetengeneza na Dr. Slaa. Neno la Mungu linasema Kama una neno na ndugu yako hata sadaka usitoe hadi upatane nae. Mkaonyane kwa nyimbo na tenzi za ROHONI. Msamaha ni neno pana na zaidi kwenu watumishi wa Mungu.

Queen Esther


Akiongea machache kanisani kwake leo hii kwenye maombi ya kumwombea raisi na nchi mpya katika ibaada iliyofurika watu mbalimbali wakiwemo baadhi ya mawaziri au wawakikishi wao na baadhi ya wabunge walioenda kupata baraka za maombi mch Gwajima alisema.

"Ni kweli mikono ni ile ile, miguu ni ile ile na vidole ni vile vile lakini ikumbukwe kichwa ni tofauti. Ufanisi wa uwezo wa viungo vya mwili unategemea kichwa kilichopo."

Akaongeza pia

"Mabehewa yanaweza kuwa yale yale na Reli ile ile lakini kichwa cha Treni ni kipya. Speed ya mabehewa inategemea uwezo wa kichwa"

"Tumsuport Rais kwa KAZI yake nzuri, ni mapema kulaumu na kushutumu, maendeleo hayaji kwa kubweteka na kulaumu. Kila mtu afanye kazi halali kwa bidii sana. Serikali inayo jali raia wake ni rahisi kwa raia hao kufanikiwa . Asiye na shamba atafute shamba sasa na serikali iweke mazingira bora kwa wananchi wake"

Akaongeza pia

"Tumekuwa na marais wanne waliotutangulia ambao wote wamesoma fani ya "Arts" lakini sasa yupo Rais wa awamu ya Tano ambaye ni Mwanasayansi, mtaalamu wa kemia, anajua reaction na equation.. tumwombee afanye matarajio ya wananchi"
 
Back
Top Bottom