Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,888
Kuna tofauti ya kutafuta mwanamke wa kugegeda na kutafuta mwanamke wa maisha; ingawa ni kweli kwamba hata huyu wa maisha nae hua unagegeda but wa maisha ni tofauti na huyo unae malizia HAMU. Nahisi we bado hujawahi penda, subiri kidogo tu umri ukikaa sawa utaelewa.wanaume tunahaibishwa na wivivu wachache, na ukiona mtu analilia mwanamke sana basi hajui kutongoza au hana hala pia inaweza kuwa vyote kwa pamoja
You are not alone brother, so many people have gone through it ... Personally I've been there, I know how it feels kumpoteza mtu ambaye akili ilishajiandaa kuishi naye kwa miaka 30+ mbele. Lakini huwa nikiangalia maisha ya huyo ambaye angekua mke wangu huwa najifariji kwamba bora aliniacha tu.Mkuu asante kwa kunifariji na kunitia moyo
Tafadhali nambie imewekwa wapi nikaitazameDuuh mdau pole...nimemuona zuwena
Ni mkalii..mrefu.umbo zuri..jicho sasa..
Na.leo tumewekewa video ya harusi...anajua kuchezaaa....
Pole sana lzm uumie
Hapo hapo kwa page ya mc luvandaTafadhali nambie imewekwa wapi nikaitazame
Ila inavyoonekana Zuwena ni mjamzito!!? Ngoja nikubali yaishe tuHapo hapo kwa page ya mc luvanda
Huyo huyo mkuu, typing errorMc Luvanda au Lukuvanda msije mkawa mnaharibu brand za watu
Asante nimeshapoaSawa. Pole
Followers wapo mkuu.Jamii forum siku hizi Kuna followers?
Ninachimshukuru Mungu ni kwamba niliwahi mmililiki mtoto zuwenaDaaah, mtt zuwena kaenda hewani sekunde vilee....mkuu pole sana.