yaser
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 1,361
- 299
mc ukumbini katika kumpamba bi harusi akasema, 'sasa nawapa sifa kubwa za bi harusi, tangu nimfahamu bi harusi hajawahi kuvaa nguo za ndani' watu wakaduwaa. Akasema 'narudia kwa msisitizo na sijakosea. Bi huyu havai kabisaa nguo za ndani,yeye ni za kutoka ITALY, ENGLAND na USA. Hebu mshangilieni.