Kuna maamuzi yanahitaji kufanya kwa namna unavyoona, sio kila mtu anaweza support ideas zako kwa maana kila mmoja anaona tofauti, wengine mithili kama yako mnaogopa risk kuliko kutazamia ukuaji wa mradi, hakuna biashara isiyo na falls and rise, lazima kama mfanyabiashara uwe risk taker.Uko mbali na uhalisia,,,,tunahitaji ndege tena sana,lkn si kwa utaratibu huu wa mtu mmoja kuamua
Usichanganye mambo boss,walioweka taratibu za manunuzi walijua iko siku atatokea mjinga mmoja afanye yake,hata lugola yalimfika kwa kutofuata kanuniKuna maamuzi yanahitaji kufanya kwa namna unavyoona, sio kila mtu anaweza support ideas zako kwa maana kila mmoja anaona tofauti, wengine mithili kama yako mnaogopa risk kuliko kutazamia ukuaji wa mradi, hakuna biashara isiyo na falls and rise, lazima kama mfanyabiashara uwe risk taker.. Shuleni mnasomea course gani zisizo hata na Economics marketing ,financial management, cost account, business mathematics, account maana haya masomo ni msingi katika maisha yetu ya kila siku
Unashadadikia vitu anavyonunua baba yako, nenda kajenge kwako huwe na uhuru sio kumsimamia baba yako kwa pesa alizozitafuta kwa jasho lake, mitoto mingine huwa inakua kama laana, haiwezi hata kusifia jitihada za baba imekaa kukosoa tu na kusubiri pesa ya baba akahongee visichana,Baba akifeli watoto wenye akili lazima wamwambie ukweli. Ila mitoto ya mama inakaa kimya au inasifia ujinga wa baba...
Nikimwona baba yangu anafanya mambo ya kipuuzi inayokwamisha maendeleo ya familia, namwambia ukweli. Akileta ujinga naweza kumkwida...
Bahati nzuri baba yangu hajawahi fanya hayo, na hivi sasa nimekuwa baba tayari. Siwezi kufanya ujinga pia...
Baba unanunua magari ya kifahari, tunaishi kwenye nyumba ya kupanga unanisomesha shule ya kata, unaendekeza nyumba ndogo... ukikaa vibaya nakucharaza bakora
Lakini si ni kweli kuwa Covid-19 imeleta athari, kama ingekua haijaleta athari basi tungesema imetumika kujenga hoja, uwekezaji wowote una hatua zake mpaka kufikia pale kwenye malengo(peak) ,Endeleeni kutumia kovidi kama kivuli cha kujificha, muda utaongea tu!
Siku hizi kila kitu kovidi, hata mdeni wangu hanisumbui tena... namwambia tu hali ni mbaya si unaona!!!
Kwa hakika si kitu cha kawaida mtu kufurahia kufeli kwa mzazi wake. Na ikitokea hivyo basi ujue lazima kuna sababu muhimu sana iliyopelekea furaha hiyo.Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu
Mitoto ya mama ndo inadhani ndege imenunuliwa na hela ya baba. Haijui baba mwenyewe hata kula yake inategemea jasho lao. Mitoto mijinga iliyozoea kuvalishwa nepi ikiwa tayari inaweza kujisaidia yenyewe... Shame!Unashadadikia vitu anavyonunua baba yako, nenda kajenge kwako huwe na uhuru sio kumsimamia baba yako kwa pesa alizozitafuta kwa jasho lake, mitoto mingine huwa inakua kama laana, haiwezi hata kusifia jitihada za baba imekaa kukosoa tu na kusubiri pesa ya baba akahongee visichana,
Hakika mkuu,Kwa hakika si kitu cha kawaida mtu kufurahia kufeli kwa mzazi wake. Na ikitokea hivyo basi ujue lazima kuna sababu muhimu sana iliyopeleke furaha hiyo.
Mawe baba yake nani?Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu
Ni kama umetokwa na povu sana,Mawe baba yake nani?
Na baba si mwanadamu au ni nani?
Baba?
Who is baba wewe?
Baba hakoseagi?
Eti baba yako akifeli,maana asifeli yeye nani?
Ukishakua baba IQ yako ni 300?
Na unakua bora kuliko wanadamu wote?Na Hufanyi kosa?
Anaekosea anasifiwa au anakoselewa regardless?
Yaani kama wanadamu wa hii nchi,tuna reward makosa sababu mtu anaitwa baba?
Je bibi?Babu?Mama?Kaka?etc?Hao si watu ni mawe?
Mawe baba yako wewe binafsi,usipakae watu wote upumbavu unaouona wewe!
Eti Uwekezaji kwa faida ya nani?Mali ni ya serikali kama entity,haihusu mwananchi private,ni looting ya wanasiasa kupata mitaji ya kuhonga electorates back.
Go lie to motherfvckers huko...
People know what is government and who is a politician and government wealth ni nini na chanzo chake ni looting kutoka kwa innocent hard working private citizens
Wamefarijika ndugu, kuna watu wanashida sana,Kwa hio umefarijika
Hao wanalala huku wanaota waamke na 'hoja' gani kuleta mihemko mitandaoni.Nyie watu hakika kuna mahali mnalipwa, huwezi kushupaza shingo namna hii.
Tatizo la usafiri wa anga halijaikumba TZ peke yake, ingekuwa nchi yetu ndio pekee imeumia hapo ungekuwa na hoja, lakini hili janga ni la dunia nzima. Unataka serikali ifanyaje hapo?
Umehama hoja sasa unapondwa wakina mama kuwa wakina mama ni wajinga, una akili kweli wewe na ukongwe wako humu lakini akili yako haikui utoto mwingi,Mitoto ya mama ndo inadhani ndege imenunuliwa na hela ya baba. Haijui baba mwenyewe hata kula yake inategemea jasho lao. Mitoto mijinga iliyozoea kuvalishwa nepi ikiwa tayari inaweza kujisaidia yenyewe... Shame!
Wakati serikali inaanzisha na kununua ndege kwa fujo ilikuwa inamkomoa nani jawakujua biashara ya ndege ni janga la dunia.Nyie watu hakika kuna mahali mnalipwa, huwezi kushupaza shingo namna hii.
Tatizo la usafiri wa anga halijaikumba TZ peke yake, ingekuwa nchi yetu ndio pekee imeumia hapo ungekuwa na hoja, lakini hili janga ni la dunia nzima. Unataka serikali ifanyaje hapo?
Wewe mrundi unafurahia hasara ya ndege tunayopata ndiyo maana uko kimya.Serikali naomba mthibiti mambo ya uhamiaji na wakimbizi.Matokeo yake miaka michache ijayo tunapata watu kaliba ya mtoa mada.
Corona imeanza juzi hebu tupe faida ya ndege zetu kuanzia 2016 hadi 2019 kabla ya corona.Hivi janga la Covid-19 hujui kama limeleta athari kubwa sana, na kuathiri usafari wa anga pia, unachokosoa hapo ni nini, usomi wenu huwa mnasomea nini huko mashuleni mnashindwa hata kutoa tasmini za hapa na pale
baba ukifanya ujinga wa kiburi na majigambo ya wendawazimu nitafurahi uki fail!Naoana post yangu imefutwa, narudia tena hivi unaweza ukafurahi baba yako kufeli, utakua mzima kweli, hizi ndege ni kwa faida ya nani? Ni yetu sote watanzania lilifanyika jambo hili kwa manufaa yetu lakini watu mnakejeli sana uwekezaji huu
Jibu hoja ya ndege mambo ya dawa ya quinine anzisha mada yake ujibiwe na wataalamu wa MSD.Kama ilivyo kosa matumizi Quinine baada ya ugonjwa wa malaria kutokomezwa na serikali ya awamu ya 5 na ndivyo wana ufipa mmekosa kabisa muelekeo, hamjitambui kabisa na hamjui vipawa mbele vyenu kwenye huu uchaguzi ni vitu gani. Wewe endelea kutafuta wagonjwa wa Malaria ili waitumie hiyo Quinine wakati wadudu wanaosababisha Malaria hawapo