malkiamrembo
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 386
- 231
Hayo ni makosa au uelewa wa mwandishi, hakuna dhamira ovu hapo.Watanzania habari zenu hii habari mm imenigusa sana, Captain wa timu ya Taifa #TaifaStars na mshambuliaji tegemeo wa Club ya Genk ya kule Belgium na mtoto wa Mbagala Dsm, kuripotiwa na vyombo vya nje kuwa ni Mkenya hii #Tff mnayo habari?
Na Je? Kwenye habari kama hizi tff mnachukua uamuzi gani au mnafanya nini?
Juzi timu ya Captain @Samagoal77 imechukua Ubingwa wa ligi ya Belgium Je? TFF mmetoa salamu za pongezi zozote kwa Club ya soka ya Genk? Kwa sababu tuna mahusiano nao kupitia Captain na mchezaji Mbwana Samatta.
WATANZANI TUAMKE KUNA SIKU TUTASIKIA Nchi ya Tanzania tumeikopa Kenya Mlima kilimanjaro na Mbuga za wanyama tumekopeshwa .View attachment 1101272
Wajulishwe ili iweje? Tafuta pesa wewe Acha kufuatilia vitu visivyo na TijaAiseee hivi kila kitu kizuri sio chetu jamani Wanao husika na michezo wajulishwe hili
Mkuu kwani hapo nimekukwaza? Au nimesema vibaya yule ni Mt na ni icon ya nchi ki mpira tatizo nn?Wajulishwe ili iweje? Tafuta pesa wewe Acha kufuatilia vitu visivyo na Tija
Samata mwenyewe kalalamika?Mkuu kwani hapo nimekukwaza? Au nimesema vibaya yule ni Mt na ni icon ya nchi ki mpira tatizo nn?
Subiri ni kiswahili nan kaandika?Hayo ni makosa au uelewa wa mwandishi, hakuna dhamira ovu hapo.
Wote ni Waafrika so msipanik vitu vidogo hvHawa watu wamezidi