Mbwana Samatta Afunga Ndoa na Naima Omary. Tunawatakia Kila la Heri Katika Ndoa Yenu. Hongereni Sana.

Wakristo huwa hawafungishi ndoa watu wa aina hiyo huwa tu wanabariki mahusiano yao .Makanisa mengine ni wakali Kama pilipili hawaruhusu mwanamke aliyezaa kuvaa hata shela anaenda time na mavitenge Yake na mwanaume hata suti haruhusiwi kuvaa .
Vitu zingine zinachekesha!!! Sasa shela na hizo suti zinasaidia nini kwenye maisha yao?!!kwenye hizo biblia zenu mmeandikiwa lazima mvae shela,na suti?!! Akili nyingine ni aibu tu ni bora kutokuwa Nazi kabisa.
 
Ni hatari sana kiongozi...!

😍
 
Vitu zingine zinachekesha!!! Sasa shela na hizo suti zinasaidia nini kwenye maisha yao?!!kwenye hizo biblia zenu mmeandikiwa lazima mvae shela,na suti?!! Akili nyingine ni aibu tu ni bora kutokuwa Nazi kabisa.
Suti sio vazi la wazungu,suti ilibuniwa na wa misri,roman empire wa kakopi,hata ma tai chanzo ni misri.
 
Yaani umaarufu wote hakuwaona wakina Wema Sepitu mpaka amuoe Mwajuma?
 
Hata makanisani wanapiga vita ndoa za mbwembwe. Inaonekana umekaririshwa mambo, wafunga ndoa za kikristu wengi tu huchukuana na kwenda kufungishwa ndoa ma Padre bila ya kuwepo mikusanyiko ya watu kama mnavyoona.
Katoliki zinafungwa sana ndoa hizo. Wanaotaka ndoa zenye mbwembwe siyo makanisa bali ni wanafamilia. Usichanganye mambo.
Kama alivyofanya Magufuli
 
Back
Top Bottom