MBWAGA UNIvERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCE

Lugano5

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
4,358
1,250
Ni chuo kipya na bora kabisa,kinachotoa digrii ya (i)medicine (ii)nursing....,location:maswa-simiyu kama unaelekea lalago..!wahi sasa.nafasi ni chache,vigezo:kama wewe ni form iv uwe na A/B-kwa phys,chemia na biology,pia usiwe pungufu ya crdt tano...na utasoma 7yrs kwa md na 5 yrs kwa nursing.
 
MWAMALA

Member
Nov 21, 2013
16
20
Kwa mf. Mtu ana PHYS-C
, CHEM-B,
BIOS-C,
MATH-B,
ENGL-C,
HIST-B,
KISW-C,
GEO-C,
CIV-B
kwa A'level results
CHEM-E
BIOS-E
GEO-D
BAM-S
GS-F
JE Mtu kama huyu anasifa ya kusoma hiyo degree ya md or nursng kwa miaka mingapi? Tusaidie
 
majeshi 1981

JF-Expert Member
Dec 7, 2013
2,093
1,500
Kwa mf. Mtu ana PHYS-C
, CHEM-B,
BIOS-C,
MATH-B,
ENGL-C,
HIST-B,
KISW-C,
GEO-C,
CIV-B
kwa A'level results
CHEM-E
BIOS-E
GEO-D
BAM-S
GS-F
JE Mtu kama huyu anasifa ya kusoma hiyo degree ya md or nursng kwa miaka mingapi? Tusaidie
huyu itakuwa mitatu tu MD anayo!
 
Baraka Roman

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
693
0
Mie nilisoma masomo ya art olevo na a level nimesoma HGK vipi hamna pre coarse kwa watu walisoma art?

Kwa hisani ya maadui wa watatu,ujinga+maradhi na umasikini

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Lugano5

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
4,358
1,250
Mie nilisoma masomo ya art olevo na a level nimesoma HGK vipi hamna pre coarse kwa watu walisoma art?

Kwa hisani ya maadui wa watatu,ujinga+maradhi na umasikini

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
hiki chuo ni cha afya tu.
 
tofali

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
4,003
2,000
Mmhhh acha kudanganya watu..bachelor course zoote zinaombewa tcu.siku hizi.na muda wa kuapply mpk mwakaniiii.....halafu we unasema unasoma bugando hiyo mbwaga ndo unafundishia tuisheni ama
 
Lugano5

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
4,358
1,250
Mmhhh acha kudanganya watu..bachelor course zoote zinaombewa tcu.siku hizi.na muda wa kuapply mpk mwakaniiii.....halafu we unasema unasoma bugando hiyo mbwaga ndo unafundishia tuisheni ama
bwana mie natoa taarifa ambayo ipo proved....
 
Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,223
1,225
Hakuna kitu kama hicho. Huyu mtoto lugano5 wamefunga UDOM, ndio karudi tena. Dogo waijua Medicine wewe? Au wadhani ndio ile ya UDOM?
 
Last edited by a moderator:
Top Bottom