Mbwa wangu hang'ati!

Mbwa wangu hang'ati!

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,064
Reaction score
991
Jamaa kaingia bar akamkuta mlevi anakunywa biere huku akiwa na mbwa pembeni.
(JAMAA):Oyaa mbwa wako hang'ati?
(MLEVI):Hapana hang'ati.
Jamaa akavuta kiti akakaa na kuagiza kinywaji.mara ghafla yule mbwa akamng'ata yule jamaa na kutoka na na kipande kikubwa cha nyama ya paja.
(JAMAA):Oyaa si ulinambia mbwa wako hang'ati?mbona kaning'ata?
(MLEVI):We vp,nimekwambia mbwa wangu hang'ati,nimemwacha home,huyo aliyekung'ata sio wangu,na mimi nimemkuta hapa hapa bar!
 
Kwanza angeuliza huyu mbwa ni wako? Kuna tatizo la kudandia sana, kwa mfano mtu anakukuta umekaa na demu anakimbilia kusema, vipi huyu ndio shemeji yetu? Hilo ni kosa, kwa nini usiombe tu utambulisho!
 
Bora aseme hivyo,mwingine angesema,'dah kumbe demu wako mkali hivi!.
 
Searching...100%
Loading...100%
5G Connected !

Near by Mafinga Iringa
 
bac hiyo heading nikadhani ni yule 'mbwa mweusi' asiyekoma kuingia matanuri yenye joto kali
 
hahahahahahahaha............
  • :target:
lugha gongana
 
Back
Top Bottom