Mbwa wangu amekuwa na hisia za ajabu

Mbwa wangu amekuwa na hisia za ajabu

Nimekumbuka ile 'watapata tabu sanaa kipigo chake kitakua ni cha mbwa koko'
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]noo babe ni hisia tuu zimemzidi...me nilikuwa nafikiri nikuletee zawadi ya mbwa kama huyo mwenye hisia kali babe wangu...[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapana babe huyo we baki nae tu, we si unajua aina za mbwa wangu eeeh....
 
Ni Ke Au Me?
Angalia Asije Kuwa Na Hisia Za Papuchi Au Dushe Nakupa Warning Tu.
 
Alafu unafanana naye sana ndugu mtoa mada..!
 
Huyo mbwa ndo anaekuletea hela nini yaani mbwa jini? Sijawa kuona mbwa wa kihivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom