Mbwa wa ulinzi anauzwa

Mbwa wa ulinzi anauzwa

Geligator

Member
Joined
Sep 11, 2019
Posts
5
Reaction score
3
Breed/aina; german shepherd
Jinsia; dume
Umri; miezi 6
Mahali; moshi, Kilimanjaro
Mawasiliano; 0783961260
IMG-20190902-WA0002.jpeg
IMG_20190918_135940_9.jpeg
IMG_20190908_120112_6.jpeg
IMG_20190908_120009_2.jpeg
 
Kwa tunaojua mbwa. huyo mbwa ni mzuri tatizo lishe, hapewi chakula cha kutosha anaonyesha hata maji ya kunywa ni shida. Tangaza bei, elezea ni chanjo zipi amepata hadi sasa maana anaonekana ana minyoo. Mara ya mwisho ameogeshwa lini? Je, amepata mafunzo yoyote?
 
kumbe uyo mbwa Ni milioni7,Bora nifuge ndevu tuu yani sijamlisha, kumtibu na kuzomba mavi kila subuhi ..watanganyika tuache mzaha na pesaaa!! Kwani anamafunzo yakivuta?
 
Mbwa bado umgharamie chakula na matibabu.
Bora uweke gadgets tu
 
Back
Top Bottom