Zipuwawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 3,050
- 656
Ukimpa maelekezo fulani plus kumtambulisha Wageni then haumi,akiona mtu asiemjua huwa anaanza kubweka na kumzuia huyo mtu let say anataka kuingia ndani basi atamfuata alipo na kuanza kubweka huku kaziba njia,kadri mtu anavyozidi kusogea ndio huongeza ukali na endapo huyo mtu mgeni atalazisha kupita au kuchukua kitu then anaweza kung'atwa!! Atapunguza ukali baada ya mwenyeji kutokea ila hatoacha kubwaka mpaka akatazwe na mwenyeji wake
Naweza mpata huyo Mi nipo Morogoro kama vipi nimfuate au ameshachukuliwa?