Dume mkuu!!
Mkuu kama unataka kwa ajili ya kitoweo hata uje na million sikuuzii kwani huyu ni kama rafiki sana siwezi mpa mtu anaeenda kumtesa,katafute mbwa koko tandale,lol!!
Mbwa/German mwenye umri wa miaka miwili na nusu namuuza kwa shs 100,000/=,amechomwa chanjo na sindano zote muhimu. Sababu ya kumuuza- nahama mkoa,napatikana Tabata-Dar
Sasa mkuu kumiliki German Shepherd lazima uwe polisi??!! Au raia wa kawaida tunatakiwa kufuga mbwa koko tu??!!
Ahhhaa mbwa mbwa tu hizo kashifa unaleta, watandale mbwa na wako mbwa wote kitoweo tu, et rafiki 😀😀😀😀😀 hicho kitoweooo.... sema bei ya kueleweka nimchukue serious.
hawezi kuniuma mimi mwenyewe
Bado hujafika home huweke picha tu kama inawezekan msakizie mtu afu record video tuone ufanisi wake..asije kuwa simba wa maonyesho anaunguruma huku ana smile.
Kuna umuhimu wa kuanzisha Jukwaa la Hospital ya Mirembe ili tuhifadhi watu kama wewe wakati wa Mwezi mchanga! Ila Mwaya umenifurahisha sana Wazo lako. Karibu Togwa za Maisha Club.
Bado hujafika home huweke picha tu kama inawezekan msakizie mtu afu record video tuone ufanisi wake..asije kuwa simba wa maonyesho anaunguruma huku ana smile.
Mkuu utakua kilauli zimekolea sana,kesho asubuhi utaziona picha,usiingie jf kama una mning'inio!!
Kuna umuhimu wa kuanzisha Jukwaa la Hospital ya Mirembe ili tuhifadhi watu kama wewe wakati wa Mwezi mchanga! Ila Mwaya umenifurahisha sana Wazo lako. Karibu Togwa za Maisha Club.
Ndo mana nataka uhakika wa huyo dog niwe naend nae kilabun..siunajua kuning'inia..