Ww ni polisi?Mbwa/German mwenye umri wa miaka miwili na nusu namuuza kwa shs 100,000/=,amechomwa chanjo na sindano zote muhimu. Sababu ya kumuuza- nahama mkoa,napatikana Tabata-Dar
Mbwa/German mwenye umri wa miaka miwili na nusu namuuza kwa shs 100,000/=,amechomwa chanjo na sindano zote muhimu. Sababu ya kumuuza- nahama mkoa,napatikana Tabata-Dar
Sasa mkuu kumiliki German Shepherd lazima uwe polisi??!! Au raia wa kawaida tunatakiwa kufuga mbwa koko tu??!!
Mkuu kule kurasini chuo cha Mbwa wanauzwa laki tatu na nusu,mimi namtoa kwa kuwa nahamia mkoani vinginevyo nisingemtoa
anabweka au habweki?
Mie simuitaji kwa ajili ya kumfuga au ulinzi, kunjua roho nichukue kitoweo hicho nikumbukie nyumbani kwanza anafika kilo ngapi? 😛
ina maana polisi wamefulia kiasi hicho hadi wanauza mbwa?