Mimi nina mbwa wang ndoo amezaa mara yake ya kwanza sasa sema hataki kuwanyonyesha watoto wake anawalalia tu amezaa vitoto saba kala kimoja kingine kimekufa ...naombeni msaada wenu ili mbwa wangu awanyonyeshe watoto wake wasife

Ni uzao wake wa kwanza?
Kama ni uzao wake wa kwanza hiyo ni kawaida sana kwa wanyama wote ata binadamu. Uzao wa pili atanyonyesha mwenyewe.
Endelea kutumia hiyo njia mbadala kuwalisha hao watoto.