uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,041
- 8,636
dah!Wauza mishikaki nao wameongezeka!
Ni tangu zamani broo; sema tu ni ww ulikuwa hujui. Tanangozi pale tumewala sana.Siku hizi nao wamekuwa vitoweo
Yap. Ni heri kuwa na Ajira hiyo kuliko Upanyarodi. 😀Ajira ya mishkaki ya 50 na 100 kwenye vituo vya daladala imewamaliza hao mbwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Hapa Kuna hoja asikilizwe...Miaka ya nyuma kidogo ilikuwa kila dampo lazima ukute kundi la mbwa likitafuta chakula.
Lkn siku hizi ni ngumu sana kukuta mbwa iwe kwenye madampo au mtaani.
Hawa mbwa wamepata soko au watu wameamua kuwafuga kwa kuwafungia?
KAma kweli hivi, wala supu na mishikaki kiholela kazi kwetuMiaka ya nyuma kidogo ilikuwa kila dampo lazima ukute kundi la mbwa likitafuta chakula.
Lkn siku hizi ni ngumu sana kukuta mbwa iwe kwenye madampo au mtaani.
Hawa mbwa wamepata soko au watu wameamua kuwafuga kwa kuwafungia?