Mbwa anayepiga kazi kama mtu

Mbwa anayepiga kazi kama mtu

wepson

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
831
Reaction score
219
Kutana na Lemon, mbwa anayependa kufanya kazi za nyumbani kama binaadam. Lemon hupenda kwenda kuchota maji na anaweza kulima vizuri kwa kutumia jembe la plau.
Mmiliki wake, Alexander Matitsyn alimnunua Lemon baada ya kustaafu kazi ya jeshi.
Fani yake akiwa katika jeshi la Urusi ilikuwa kufunza mbwa jinsi ya kutekeleza majukumu mbalimbali, hivyo si ajabu aliweza kumfundisha Lemon 'ujanja'.
"Hupenda kujifunza na kujaribu mambo mapya na huwa hasahau"amesema bwana Matitsyn.


10678859_490822951055172_6855302003400005911_n.jpg






1549316_490822967721837_3604164675887556064_n.jpg






 
hivi mbwa wa kibongo anaweza elewa kweli hata akifundishwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom