Mbwa aliyemuuma kingunge

hahaa mzee Kingu alikuwa hatambui uwepo wa dini, hata mpwa wake nao hawatambui uwepo wake km owner wakaona wamng'ate tu@What goes around comes around

Hivi mazishi yake tayari? Amezikwa kwa utaratibu upi?
 
Awapi

Hamna kitu icho Mkuu
 
Na wasiwasi wasiojulikana wamepewa uwezo wa kujigeuza mijibwa!
 
Il
Ikuwa ni ain gani ya mbwa? NI Pit Bull ama?
 
Upelelezi unaendelea na Mbwa tayari yupo kituo cha polisi akisubiri kupandishwa kizimbani muda wowote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…