Ni hatari, mbwa wako mwenyewe, hutaki akufahamu!Mbwa wake mwenyewe kamuua mwenyewe aiseeh!
Hawakumtrain basi huyo mbwa jamani!Ni hatari, mbwa wako mwenyewe, hutaki akufahamu!
Mbwa hana makosa!
Anashikiliwa na polisi wakati uchunguzi ukiendelea, huenda akalewa dhamana kushitiki mazishi.Tokea tulipopata taarifa kuwa mzee kingunge ngombale mwilu amelazwa Hospitali ya Taifa muhumbili baada ya kuumwa na mbwa wake akiwa nyumbani kwake, hadi leo tumepata taarifa kuwa mzee kingunge ameaga Dunia hatujapewa taarifa kuwa yule mbwa amechukuliwa hatua gani, nakama bado yupo palepale sehemu ya tukio yaani nyumbani kwa marehemu hataweza kufanya tukio kamahilo kwa mwanafamilia mwingine?
Watoto wake walishasema kuwa, wakati wa kulala wakishafunga milango, mlinzi huwafungulia. Alfajiri sana, huwafungia bandani. Hao mbwa walikuwa hawamfahamu!Hawakumtrain basi huyo mbwa jamani!
Duhhh kumbe ni hivyo aisehhhWatoto wake walishasema kuwa, wakati wa kulala wakishafunga milango, mlinzi huwafungulia. Alfajiri sana, huwafungia bandani. Hao mbwa walikuwa hawamfahamu!
Yote kwa yote, kwa mchango wake kwa Nchi hii, si yeye, wala mke wake tiba zao zingeishia Muhimbili tu! Serikali ingepaswa kuwatafutia tiba hata nje ya Nchi! Na si hivyo tu, hata bendera ya taifa, ilipaswa imlilie kwa nusu mlingoti, hata kwa siku moja, kama si tatu!
Tusilione hili ghorofa ( Tanzania) limesimama hivi, wapo waliojitolea kulijenga!
Kuwa nje ya KIJANI, si sababu ya kunyimwa haki yake!
Tokea tulipopata taarifa kuwa mzee kingunge ngombale mwilu amelazwa Hospitali ya Taifa muhumbili baada ya kuumwa na mbwa wake akiwa nyumbani kwake, hadi leo tumepata taarifa kuwa mzee kingunge ameaga Dunia hatujapewa taarifa kuwa yule mbwa amechukuliwa hatua gani, nakama bado yupo palepale sehemu ya tukio yaani nyumbani kwa marehemu hataweza kufanya tukio kamahilo kwa mwanafamilia mwingine?